Saturday, 25 July 2015
Thursday, 23 July 2015
JOB OPPORTUNITIES SAUT
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The
Saint Augustine University of Tanzania announces the Job Opportunities
for the academic year 2015/2016. Applicants should have PhD in the area
of specialization indicated here in below.
Mode of Application and Deadline
Your application should include application letter, Up to date Curriculum Vitae stating in full physical address, telephone numbers and email addresses of the candidate, certified copies of Academic transcripts and Certificates, date of birth and the related years of experience if any.
All applications should be submitted through postal/courier services or online. Application should reach the undersigned by 4.00 pm on 3rd August 2015
Director of Human Resource
Academic Rank Required | Field of Study |
Lecturer/Associate/Professor | Accounting and Finance |
Lecturer/Associate/Professor | Human Resources Management |
Lecturer/Associate/Professor | Sociology |
Lecturer/Associate/Professor | Education |
Lecturer/Associate/Professor | Philosophy |
Lecturer/Associate/Professor | Journalism and Mass Communications |
Lecturer/Associate/Professor | Law |
Mode of Application and Deadline
Your application should include application letter, Up to date Curriculum Vitae stating in full physical address, telephone numbers and email addresses of the candidate, certified copies of Academic transcripts and Certificates, date of birth and the related years of experience if any.
All applications should be submitted through postal/courier services or online. Application should reach the undersigned by 4.00 pm on 3rd August 2015
Director of Human Resource
St. Augustine University of Tanzania
P.O.Box 307
MWANZA
MWANZA
Email: gwaltu@saut.ac.tz
UKAWA hawana sababu kumuogopa Magufuli
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hakuna ubishi kuwa mgombea
mteule wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli ana
ushawishi mkubwa nchini. Hata hivyo, hii si sababu ya wapinzani chin
WANAWAKE 2,430,000 WAGUNDULIKA KUTOLEWA MIMBA KIHOLE NA ASILIMIA 18 WALIKUMBWA NA VIFO HUKU WENGINE MIFUKO YA UZAZI IKIOZA NCHINI TANZANIA.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baadhi ya njia zisizo salama ambazo hutumika ni spoku za baiskeli, utomvu wa mti wa muhogo, vyuma vyenye ncha kali na vidonge bila kufuata maelekezo ya madaktari.
Utomvu huo una sumu ya ‘oxytocin’ inayoweza kuharibu mimba na wengine hutumia vidonge vya “misoprostol” na “morning after” vyenye uwezo wa kuharibu mimba, ambavyo vinauzwa kiholela katika maduka mengi ya dawa.

Wednesday, 22 July 2015
Jamani Dada Martha…looh!-24
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI:
Martha kule nyumbani, akakumbuka kwamba alipanga kwenda kufanya usafi nyumbani kwa Roi, hivyo alijiandaa, akatoka akipanga kwamba atakapokaribia kufika ampigie simu Roi kumwambia ampitishie funguo za nyumba.
JIACHIE MWENYEWE SASA…
Aliwaaga wapangaji wenzake akisema anatoka mara moja…
“Jamani natoka, nitarudi lakini,” alisema Martha akiwa tayari kwenye ngazi.
“Poapoa.”

Kemikali zinavyoathiri sehemu za siri za wanawake
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanawake hupenda sana kutumia marashi na vitu vingine kama sabuni zenye kemikali kwa ajili ya kujirembesha.
Baadhi yao wamekuwa wakipenda usafi wao
binafsi wakitumia vitu ambavyo baadhi yake ni hatari kwani wengine
wanapenda kusafisha sehemu zao za siri kwa kutumia sabuni zenye
kemikali, pafyumu yaani ‘deodorant’ au kupaka mafuta bila kujua madhara
yake.
Wanawake hao wanaotumia vitu hivyo wana
hatari ya kupata magonjwa ya zinaa au ya kuambukiza. Watafiti katika
Chuo Kikuu cha California, Marekani wanasema sabuni ngumu au hata za
maji, pafyumu ‘deodorant’ zinaharibu tishu muhimu zilizomo
Ulisema ukiolewa, ukipata kazi, ukiongezwa mshahara utafurahi; mbona sasa hufurahi?
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Karibu
kila mtu anatafuta furaha kwa njia mbalimbali anazoona zinafaa. Wapo
wanaoamini kuwa wakipata wake/waume, kazi, utajiri, wakijenga nyumba,
wakipandishwa cheo na kufaulu mitihani watafurahi sana.
Lakini tafiti zinaonesha kuwa asilimia
87 ya wanaohangaika kutafuta hayo wanayodhani yatawafurahisha huwa
hawafurahi sawa na matarajio yao ya awali.
Mwenye nyumba amchukua mke wa mpangaji
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ni siku
nyingine tena tunakutana katika kona yetu ya Vituko Mtaani, leo
tunapata simulizi kutoka kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbuyuni,
Kata ya Azimio, Temeke jijini Dar es Salaam, Selemani Mponyo (pichani),
hapa anaanza kusimulia kisa cha kusisimua.
“Mambo mengine ni aibu kuyaongea kwa
umri kama wetu lakini ngoja nisimulie ili watu wajifunze. Ni kipindi
kirefu sasa tangu niamue kesi iliyonishangaza sana.
“Siku moja walikuja mke na mume ofisini,
mume akimtuhumu mkewe kwa kutembea na mwenye nyumba
Manyanyaso ya wadada wa kazi
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UTAKUWA
umesikia au kuona simulizi nyingi zinazowahusu wadada wa kazi
wanazokutana nazo katika familia mbalimbali. Licha ya umuhimu wao
mkubwa, lakini baadhi yao wamekuwa wakichukuliwa kama watu wenye shida,
wasio na maana ambao licha ya kazi yao ngumu na muhimu kwa familia,
wamekuwa wakibezwa, kutukanwa na hata kupigwa.
Filamu ya Kajala inawakilisha aina hii
ya kazi zinazofanywa na wasichana, ambao uzoefu unaonesha wanatokana na
maisha magumu katika familia wanazotoka, yatima au hata manyanyaso
kutoka kwa ndugu wa karibu.
Mzazi umeharibika, utamnyoosha vipi mtoto?
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jamani
mbona tunajisahau na kuamini kabisa kinachotokea leo tunaonewa. Mzazi
jamani anazungumza mpaka mdomo unataka kupasuka lakini mtoto ndiyo
kwanza kama katiwa moto anaambiwa afanye.
Juzi nimemkuta mama mtu mzima akitokwa
na machozi baada ya mabinti zake kushindwa kumsikiliza kila alilokuwa
akiwaambia, lilikuwa likipitia kulia na kutokea kushoto.