Friday, 10 July 2015
Makamu wa rais Maalim Seif ziarani Italia
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
anatarajiwa kuondoka nchini leo jioni kuelekea nchini Italia kwa ziara
ya siku nne ya kiserikali.
Katika
ziara hiyo Maalim Seif anamuwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Moh’d Gharib Bilal kwenye maonyesho ya
biashara ya kimataifa yanayofanyika mjini Milan nchini Italia.
Maonyesho
hayo ya kimataifa yanazishirikisha zaidi ya nchi mia moja na arobaini
(nchi 140), na yanatarajiwa kuhudhuriwa na wageni wapatao milioni 20
kutoka pembe zote za dunia.
official:Henderson appointed Liverpool captain
Liverpool have confirmed that Jordan Henderson has been officially
appointed captain, taking over from the departed Steven Gerrard.
Mgombea Urais Ukawa Hadharani Kesho
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa), kutoka kushoto ni James Mbatia,Freeman Mbowe na kulia ni
viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa), kutoka kushoto ni James Mbatia,Freeman Mbowe na kulia ni
MSIBA MWENYEKITI MUASISI WA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA (UTT) (2003-2009)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
VIKAO KUFANYIKA LEO MKUTANO MKUU KESHO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa
CCM hall ready for crucial congress
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
President Jakaya Kikwete yesterday inaugurated an
ultra-modern conference hall for the ruling CCM ready for the party’s
grand
President Jakaya Kikwete
Mramba, Yona: Prosecution files notice of appeal
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The prosecution in the case which was facing former
cabinet ministers Basil Mramba and Daniel Yona has filed notice of
Basil Mramba, the former minister of finance and Daniel Yona, the former energy and minerals minister.
After MPs, now councillors threaten employers as they demand gratuity
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Councilors in Kishapu have given the District
Executive Director Jane Mutagulwa ten days from today to pay them their
retireme
President Jakaya Kikwete
Dewji reassures Singida of his continued support
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Delivering his farewell speech on Wednesday
afternoon, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member of Parliament for Singida
Urban
Member of Parliament for Singida Urban Mohamed Dewji
Wildlife management areas lack good governance - stakeholders
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Minister of Natural Resources and Tourism, Mr Lazaro Nyalandu.
Warioba cautions over breach of peace towards October elections
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Former prime minister and (retired) Judge Joseph
Warioba said as the nation was heading towards the General Election in
October, this year there were indicators of breach of peace in the
country.
Former prime minister and (retired) Judge Joseph Warioba
Progress on Mchuchuma development project encouraging, says NDC
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The evaluation of Mchuchuma project is going on
well and the government was currently evaluating the value of houses and
crops of 200 residents surrounding the Liganga and Mchuchuma
The industry and trade minister, Dr Abdallah Kigoda
MKE WA MTU ANASWA WIZI WA MADELA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Zaituni almaarufu Zai, mkazi
wa Tandika, Dar, ambaye ni mke wa mtu amejikuta akila kibano ‘hevi’
baada ya kunaswa laivu kwa wizi wa madela madukani.
Zaituni anayedaiwa kuiba madel...
MKE WA MTU ANASWA WIZI WA MADELA
MAJINA MATANO YA WAGOMBEA CCM KUPATIKANA SAA 8-12 JIONI LEO,SOMA ZAIDI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari
nje ya u...SOMA ZAIDI KWA KUBONYEZA HAPA