Funguka! Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake katika kiwanda
cha filamu Bongo, Ester Kiama ameibuka na kuwachana mastaa wa kike
wanaopenda kuiba waume za watu kwamba waache kwani si tabia nzuri.
Binadamu wamepoteza utu! Mwanamke mjamzito aliyefahamika kwa
jina la mama Janeth, mkazi wa Kimara-Suka jijini Dar anadaiwa kujifungua
kisha kukiweka kichanga kwenye begi
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mwaka ujao wa masomo 2015/16 bodi ya mikopo itatoa mikopo kwa wanafunzi wa masters.Ili ufadhiliwe masomo yako ya post graduate na Bodi ya mikopo inakubidi uwe na sifa zifuatazo;
Mwaka ujao wa masomo 2015/16 bodi ya mikopo itatoa mikopo kwa wanafunzi wa masters. Ili ufadhiliwe masomo yako ya post graduate na Bodi ya mikopo inakubidi uwe na sifa zifuatazo;