INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI
HONEYGUIDE FOUNDATION- Ni shirika lisilo la serikali Arusha, nchini
Tanzania ambalo linajihusisha na kusadia jamii na uhifadhi wa wanyama
pori na maliasili kwa kuwa na ushirikiano madhubuti wa muda mrefu na
jamii zinazojihusisha na uhifadhi.
Shirika la HONEYGUIDE linatafuta mtanzania mwenye ari na uwezo wa
kufanya kazi ya MKUFUNZI NA KAMANDA WA DORIA YA KUPAMBANA NA UJANGILI
Katika miradi ya iliyoko katika jumuiya za hifadhi wa wanyama pori
(WMA,s) Tanzania.
WAJIBU NA MAJUKUMU
Kuongeza kikosi cha kupambana na ujangilis , kukusanya, kuhifadhi na
kutoa taarifa kusimamia utekerezaji wa mipango kazi ya mapambano dhidi
ya ujangili. Kufundiisha mbinu mbalimbali za mapambano dhidi ya
ujangili. Kuweza kufundisha matumizi na utunzaji wa silaha kuwezakuwa
mshauri wa kushiriki katika masura ya kuzuia ujangili.
SIFA NA UZOEFU.
waombaji wa nafasi hii ya kazi wanatakiwa na sifa na uzoefu kama
ifuatavyo:-
• Awe na cheti uhifadhi wanyamapori kutoka chuo cha wanyamapori pasiasi
au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali. Na uzoefu/uliothibiti
katika mapambano ya dhidi ya ujangilikwa miaka mitano(5) na awe
ameshakuwa kiongozi wa kikosi cha kupambana na ujangili kwa angalau mika
miwili (2)
• Awe chini ya miaka 45 hadi muda wa kuomba kazi.
• Awe hajawahi kuhukumiwa kwa kosa lolote la jinai.
• Wombaji wote wenye sifa watume maombi yao wakiambatanisha na vyeti
husika na CV zao kabla ya tarehe 30 novemba, 2014 kwenda kwenye barua
pepe:
infor@honeyguide.org au anuaani ifuatayo.
Mkurugenzi mwendeshaji, honeyguide foundation,
S.L.P 2657
ARUSHA.
CHANZO: MWANANCHI LA TAREHE 19,NOVEMBA 2014
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
Make Money at : http://bit.ly/copy_win