INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wapenzi wa blog hii pendwa ya .MASWAYETU EXCLUSIVE inayokuletea kila siku wewe roho inapenda.
KABLA
YA YOTE NAPENDA KUWAFAHAMISHA FORM SIX WOTE MNAOFANYA UCHAGUZI WA VYUO
VIKUU KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI KWANI ,KWA MFANO:MEDICINE YA SUA
INATAKA POINT 3 LAKINI HUWA WANACHUKUA MAKSI ZA JUU SANA ,KWANI SIO
LAZIMA KILA KZOI UNAYOOMBA UKACHAGULIWA,THATS...
Saturday, 26 July 2014
Friday, 25 July 2014
KIJANA AMBAAE KINARA WA KUBAKA,KULAWITI NA KUTOBOA MACHO WATOTO SHINYANGA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kushoto ni kijana aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka,kulawiti na kutoboa macho wato...
Thursday, 24 July 2014
SCHOLARSHIP:MAURITIUS - AFRICA SCHOLARSHIPS - 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ANGALIA HAPA NAFASI YA SCHOLARSHIP KWENDA KUSOMA NCHINI MAURTIUS,NITASAIDIA KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUFANYA APPLICATION TAFADHALI WASILIANA NAMI KWA SIMU NAMBA +255768260834,SIFA UWE NA DIVISION I or II.
MAURITIUS - AFRICA SCHOLARSHIPS - 2014 (Re-Advertised)...
WANAFUNZI WA VYUO VIKUU (UDS,SUA,UDOM,SAUT ) WAKOSA IMANI NA SERIKALI YA TANZANIA,WALILIA PESA YAO YA FIELD,HII NI WIKI YA 5 HAWAJAPATA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali...
AJALI YA FUSO KISHAPU: WAKIENDA MNADANI HUKO KISHAPU SASA NI WATATU,MAJERUHI 46, WENGI NI WAFANYABIASHARA ,KAMANDA WA POLISI MKOA JUSTUS KAMUGISHA AZUNGUMZIA AJALI HIYO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SAC Justus Kamugisha akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo mcha...
MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU TOKA SEKRETARIETI YA AJIRA DAR,NI MUHIMU SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MAJIBU YA MASWALI YA WADAU MEI-JULAI 2014
MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU
Awali
ya yote Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda
kuwashukuru...
Wednesday, 23 July 2014
KUELEKEA UCHAGUZI 2015:: VIJANA WAAMUA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE, HUYU NI MMOJA WAO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
RAJABU KAYAGWA KATIKA SHUGHULI ZA KUIMARISHA CHAMA
Katika kuelekea Mwaka wa Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge pamoja na
Rais Hapo Mwakani (2015). Inaonesha vijana wamedhamiria kufanya mapinduzi na kuvunja
ukimya katika kunyakua nyadhifa muhimu katika vyama vya Siasa ikiwa ni tofauti
na hapo awali kwamba ilizoeleka ni wazee peke yao tena wale wastaafu kutoka
serikalini...
Monday, 21 July 2014
TANGAZO MUHIMU TOKA NACTE: Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza 6 Oktoba kuwa ni tarehe
ya kuanza kwa mafunzo ya stashahada ya ualimu wa shule za msingi
(Ordinary Diploma in Primary Education (ODPE)) katika vyuo teule vya
majaribio na Stashahada...
BREAKING NEWS:BASI LA AM COACH LAPINDUKA WILAYANI MASWA NA KUJERUHI WATU WATATU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BASI LA AM COACH LAPINDUKA WILAYANI MASWA NA KUJERUHI WATU WATATU
Basi la AM Coach likiwa eneo la tukio katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu
Watu watatu wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya Basi la AM Coach lililokuwa linatokea katika...