INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wapenzi wa blog hii pendwa ya .MASWAYETU EXCLUSIVE inayokuletea kila siku wewe roho inapenda.
KABLA YA YOTE NAPENDA KUWAFAHAMISHA FORM SIX WOTE MNAOFANYA UCHAGUZI WA VYUO VIKUU KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI KWANI ,KWA MFANO:MEDICINE YA SUA INATAKA POINT 3 LAKINI HUWA WANACHUKUA MAKSI ZA JUU SANA ,KWANI SIO LAZIMA KILA KZOI UNAYOOMBA UKACHAGULIWA,THATS WHY NILIWASHAURI KWAMBA KAMA UNA MASHAKA NA MAKSI ZAKO CHAGUA EDUCATION.
Leo siku njema ya jumamosi napenda kuwaletea mada juu ya vyuo vikuu vilivyopo tanzania na kozi wazitoazo;