INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Dr Wilbrod
Slaa akionyesha kabrasha lenye mambombalimbali ya mikaba kuhusiana na
kampuni ya IPTL na Excro Pamoja na taarifa maalum kuhusu mwenendo wa
bunge maalum la katiba pia katibu mkuu ameongelea kuhusu mkutano mkuu
utakaofanyika hivi
Tuesday, 15 July 2014
30 WATWISHWA ZIGO BUNGE LA KATIBA,MBOWE,WEREMA NDANI WENGINE SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta
Na Mwandishi wetu
15th July 2014
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu Mwenyekiti, Samia Hassan Suluhu, wameteua wajumbe 30 wa Bunge hilo watakaoshiriki katika kikao cha kamati ya Mashauriano kitafachofanyika Julai 24 na 25 mwaka huu, katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel SittaNa Mwandishi wetu
15th July 2014
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu Mwenyekiti, Samia Hassan Suluhu, wameteua wajumbe 30 wa Bunge hilo watakaoshiriki katika kikao cha kamati ya Mashauriano kitafachofanyika Julai 24 na 25 mwaka huu, katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam.
TRAFIKI WA KIKE: ATEKWA JIJINI DAR
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang’ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani.

Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester
katikati ya maeneo ya Tameke na Chang’ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya
katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako mkali wa polisi waliokuwa
wakitumia redio za upepo.
EDWARD LOWASSA:AFUNGUKA KUHUSU URAIS 2015,SOMA HAPA UKWELI WOTE
Naipenda Nchi yangu Tanzania, Namwamini
Edward Lowassa 2015 kwa haya tu inatosha mimi kumpatia kura yangu pamoja
na familia yangu yote
1. Mwasisi na msimamizi wa Ujenzi shule za Kata zilijegwa jumla ya shule 2000 ndani ya miezi 6 tu ni kasoma leo watoto wa masikini wapo University .
2. Ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda shinyanga, Tabora na Singida,
CCM 2015:SUMAYE AMSHUKIA JANUARI AULIZA NANI HAJAWAHI KUWA KIJANA ADAI KWA KANUNI ZA CCM JANUARI NI MZEE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

WAZIRI Mkuu wa
zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri
kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania.
Kauli hiyo,
inaonekana ni kujibu mapigo ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, January Makamba (40), ya kuwataka wazee wakae pembeni na
kuwachia vijana kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao.
RIDHIWANI KIKWETE ATAJA MAJINA II WANAPOTOSHA KUGOMBEA URAIS 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametaja majina 11 ya wanachama wa
CCM wanaofaa kuwania urais kurithi kiti cha baba yake, Rais Jakaya
Kikwete anayemaliza muda wake mwakani.
Ridhiwani (35), ambaye alishinda kiti cha ubunge wa Jimbo la Chalinze Aprili mwaka huu, alitaja majina hayo katika mahojiano maalumu na gazeti hili yaliyofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
Ridhiwani (35), ambaye alishinda kiti cha ubunge wa Jimbo la Chalinze Aprili mwaka huu, alitaja majina hayo katika mahojiano maalumu na gazeti hili yaliyofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
UKATILI:HOUSEGIRL- MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa
akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mary
Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara
ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa
amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake.
WEMA SEPETU ALIZWA TENA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

KUNA STAA wa sinema za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini kazi haikufanyika.

Monday, 14 July 2014
WAZIRI GHASIA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NGAZI YA TAIFA MJINI MORO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
![]() |
| picha ya pamoja |
WAZIRI wa Tamisemi, Hawa Ghasia, Julai 14, mwaka huu, amefungua
mkutano wa Viongozi wa Vyama vya Siasa vilivyokuwa na usajili wa kudumu
ngazi ya Taifa kujadili maoni ya wadau mbalimbali ya kuboresha kanuni
za uchanguzi wa viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa unaotarajia
kufanyika Oktoba 2014.
MKE WA WA RIDHIWAN AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KILIMANJARO:WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI
GERMANY YABEBA KOMBE LA DUNIA,YAIFUNGA ARGENTINA 1-0,LIONE MESSI AWA MCHEZAJI BORA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
GERMANY 1-0 ARGENTINA
kwa mara ya kwanza timu ya taifa ujerumani imetwaa kombe la dunia ikiwa katika ardhi ya america ya kusini;Ujerumani imetwaa taji hilo ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1990.
Pongezi za pekee ziende kwa mshambuliaji Mario Goetze ambae alitokea bench na kufunga goli na kuiwezesha ujerumani kuongoza kwa ushindi wa goili 1-0 katika dakika ya 113.

Sunday, 13 July 2014
FOOD SCIENCE WAULA NI BAADA YA, TBS KUPEWA KIBALI CHA KUAJIRI WAFANYAKAZI 200
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY