INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Monday, 14 July 2014
KILIMANJARO:WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI
GERMANY YABEBA KOMBE LA DUNIA,YAIFUNGA ARGENTINA 1-0,LIONE MESSI AWA MCHEZAJI BORA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
GERMANY 1-0 ARGENTINA
kwa mara ya kwanza timu ya taifa ujerumani imetwaa kombe la dunia ikiwa katika ardhi ya america ya kusini;Ujerumani imetwaa taji hilo ikiwa ni mara ya kwanza tangu 1990.
Pongezi za pekee ziende kwa mshambuliaji Mario Goetze ambae alitokea bench na kufunga goli na kuiwezesha ujerumani kuongoza kwa ushindi wa goili 1-0 katika dakika ya 113.

Sunday, 13 July 2014
FOOD SCIENCE WAULA NI BAADA YA, TBS KUPEWA KIBALI CHA KUAJIRI WAFANYAKAZI 200
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TBS KUPEWA KIBALI CHA KUAJIRI WAFANYAKAZI 200
BREAKING NEWZ:MWIMBAJI MWINGINE WA MUZIKI WA INJILI NCHINI AFARIKI DUNIA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Zikiwa ni takribani wiki tatu tangu tasnia ya muziki wa injili nchini kumpoteza mmoja wa waimbaji wake marehemu mchungaji Debora Saidi, taarifa ambazo GK imezipata ni kwamba mwimbaji mwingine wa muziki wa injili Orida Njole amefariki dunia mchana wa leo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

MAHUSIANO: HIZI NI DALILI ZA MSICHANA MWENYE MAPENZI KWA MWANAUME JAPO HAWEZI KUSEMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
VIDEO MPYA YA PROFESSOR NA DIAMOND WIMBO WA KIPI SIJASIKIA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond.

Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu

Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu
HUYU NDIO REFA ATAKAECHEZESHA MECHI YA FAINALI KATI YA GERMANY NA ARGENTINA,SOMA HISTORIA YAKE KISOKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Nicola
Rizzoli amechaguliwa na Fifa kuwa mwamuzi katika mchezo wa fainali -
Kombe la Dunia Brazil 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.
Howard Webb kutoka England, aliyechezesha fainali ya Kombe la Dunia 2010 Afrika Kusini, aliorodheshwa lakini hakuchaguliwa.
Howard Webb kutoka England, aliyechezesha fainali ya Kombe la Dunia 2010 Afrika Kusini, aliorodheshwa lakini hakuchaguliwa.
UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA 3 KOMBE OLADUNIA BAADA YA KUISMABARATISHA BRAZIL KWA MAGOLI 3-O
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014.
Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014.Saturday, 12 July 2014
UHAMISHO WA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA MWEZI JUNI 2014 -WATUMISHI 3733 WAHAMISHWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI
YA WAZIRI MKUU
TAWALA
ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TANGAZO:
Ofisi ya Waziri Mkuu –
TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina 3,733
ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za Serikali za mitaa
nchini,Aidha orodha ya watumishi 112
ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.
MAJINA WANAFUNZI WAPYA KIDATO CHA TANO NA MABADILIKO YA SHULE WALIZOPANGIWA 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KUBADILISHA SHULE NA TAHASUSI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2014
Taarifa ya uchaguzi wa wanafunzi wa
kuingia kidato cha Tano katika Shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa
mwaka 2014 ilitangazwa kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI mwezi Juni,
2014. Wanafunzi waliochaguliwa awali walitakiwa kuripoti kuanzia tarehe
10 – 30/7/2014 .
Baada ya taarifa ya Uchaguzi wa wanafunzi
kutolewa, baadhi ya wanafunzi/wazazi/walezi wamewasilisha barua za
maombi ya kuwabadilishia wanafunzi waliochaguliwa shule na tahasusi au
mojawapo ya hivyo. Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI baada ya kupokea
imechambua maombi hayo na kubaini kuwa sababu zilizotolewa kwenye baadhi
ya maombi hayo zina tija na hivyo kulazimika kuridhia kuwabadilishia
shule, tahasusi au vyote kwa pamoja baadhi ya wanafunzi hao.
MOROGORO :MTOTO AFICHWA UVUNGUNI KWA MIAKA 6
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika mtoto wa miaka sita akiwa amefichwa uvunguni mwa kitanda na kufanyiwa vitendo vya kikatili na mama yake mzazi.

FIFA :YATAJA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA KOMBE LA DUNIA 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY