
Kambi
Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto
Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa).
Hii ni
mara ya kwanza kwa kambi ya upinzani kumhusiaha mbunge 'mwenzao' na
tuhuma za ufisadi tofauti na kawaida yao ya 'kuwashughulikia' ubadhirifu
katika Serikali.

Hakika
hii ni hali ya kusikitisha na si jambo la kulichukulia mzaa.Wadada hao
walionekana club wakilana denda mbele ya kadamnasi bila woga. 









