Friday, 31 January 2020

PICHA: Aliyekuwa Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani balozi Jacob kingu Naye Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

Aliyekuwa Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani ya nchi, balozi Jacob kingu amefika ofisi za Takukuru jijini hapa kwa ajili was mahojiano kufuatia agizo la Rais John Magufuli kuhusu mkataba tata wa Tsh trilioni 1 wa ununuzi wa vifaa vya zimamoto.   Kingu ametanguliwa na aliyekuwa Waziri...
Share:

Intern Opportunity at Tegeta Branch NBC

Intern Tegeta Branch NBC NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services. Job Description No role profile available as this role has no assigned corporate grade: This role should not be used to create new positions.… Read More » The post Intern Opportunity...
Share:

Rais Magufuli ateua wenyeviti watatu wa bodi.

...
Share:

Packaging Engineer at SBL Dar es Salaam

Packaging Engineer SBL Dar es Salaam, Tanzania Job Description : Context/Scope: Serengeti Breweries Ltd (SBL), a subsidiary of East Africa Breweries Ltd (EABL) operates exclusively in Tanzania and is the 2nd largest beer company. The company is an integrated demand/supply business with 3 operational breweries in Dar Es Salaam, Mwanza, and Moshi. SBL’s flagship brand is Serengeti Premium… Read More...
Share:

Head of Corporate & Investment Banking at NBC Head Office

Head of Corporate & Investment Banking Head Office NBC NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services. Job Description Commercial/Business Leadership:: Enterprise leadership of a banking product or function; Coordinates activities at a product or functional…...
Share:

HR Manager at SICPA Tanzania

HR Manager Req ID: 15868 Posted on: 30-Jan-2020 Location: Dar Es Salaam (TZ10), Tanzania Department: ID-Human Resources & General Administration (50007 Job Family: Human Resources HUMAN RESOURCES MANAGER Fundamental Purpose: Responsible for staffing the needs of SICPA Tanzania, this will involve an active recruitment across Tanzania within short time frame, focus on integration and retention...
Share:

WHO yatangaza virusi vya corona kuwa hali ya dharura

Shirika la Afya UIimwenguni - WHO limetangaza mlipuko wa virusi vipya vya corona nchini China ambavyo vimesambaa katika nchi nyingine kadhaa kuwa hali ya dharura ya kimataifa.  Hii ni baada ya visa vya maambukizi ya virusi hivyo kusambaa kwa kasi katika kipindi cha wiki moja, ikiwemo idadi...
Share:

Spika Ndugai Asema Wanamsubiri Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benki ya dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini

Spika wa Bunge, Job Ndugai Leo Ijumaa Januari 31, 2020 amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benki ya dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini  Fedha za mkopo huo ambazo ni zaidi ya Sh1.2 Trilioni zingeelekezwa katika programu za shughuli za elimu. Kikao...
Share:

Waziri Mkuu: Serikali Haiwezi Kufuta uchaguzi wote wa Serikali za Mitaa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema licha ya kuwepo kwa ugatuaji wa madaraka (D by D), Serikali za Mitaa bado zina wajibu wa kuwahudumia wananchi kwa sababu ziko karibu nao zaidi kuliko Serikali Kuu. Ametoa kauli hiyo jana (Alhamisi, Januari 30, 2020) bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
Share:

Tanzanian Consultant to Manage HIV Data Collection

Tanzanian Consultant to Manage HIV Data Collection Company Overview: Palladium is a global leader in the design, development and delivery of Positive Impact – the intentional creation of enduring social and economic value. We work with foundations, investors, governments, corporations, communities and civil society to formulate strategies and implement solutions that generate lasting social, environmental...
Share:

Madini na Viwanda Vyaleta Mageuzi ya Uchumi Nchini

Na. Immaculate Makilika – MAELEZO Mauzo ya bidhaa nje ya nchi zisizo kuwa za kawaida yameongezeka kwa asilimia 41.9 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mwezi  Novemba, mwaka jana. Hayo yamesemwa jana Jijini Dodoma  na Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO...
Share:

Serikali Yasema Mkopo wa Benki ya Dunia wa Dola za Marekani Milioni 500 kwa nchi ya Tanzania haujasitishwa bali majadiliano yanaendelea.

Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbasi amewatoa hofu Watanzania kuhusu madai kuwa Benki ya Dunia (WB) imesitisha kutoa mkopo wa masharti nafuu wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa Tanzania, akibainisha kuwa bado wapo kwenye mazungumzo. Ameeleza hayo jana Alhamisi Januari 30, 2020 katika...
Share:

Uchumi wa Tanzania Wazidi Kukua na Kuimarika

Na Immaculate Makilika - MAELEZO Hali ya uchumi wa Tanzania imezidi kuimarika na kukua  kwa asilimia 6.9 ikiwa ni  takwimu za hadi mwezi Septemba 2019, huku lengo likiwa ni kufikia asilimia 7.0% na 7.1% . Taarifa iliyotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) Januari 20 mwaka huu, inaonesha ...
Share:

IT Support Associate Job Opportunity at Sokowatch

IT Support Associate About Us: Sokowatch is transforming communities across Africa by revolutionizing access to essential goods and services. By connecting small shops to the digital economy, we fix inefficient supply chains and provide services that were previously unavailable. Sokowatch aims to provide everything a retailer needs, no wholesalers or banks necessary. Reporting To: Support Manager...
Share:

Rugemalira Afunguka Mazito Mahakamani

Mfanyabiashara  James Rugemalira, amedai mahakamani kwamba ameandika barua kwenda kwa Kamishna  Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kumwelezea  namna benki ya Standard Chartered Hong Kong ilivyokuwa ikikwepa kodi na ushuru wa forodha.  Mshtakiwa huyo na wenzake wawili...
Share:

LIVE BUNGENI : Mkutano Wa Kumi Na Nane - Kikao Cha Nne: Tarehe 31 Januari, 2020

LIVE BUNGENI : Mkutano Wa Kumi Na Nane - Kikao Cha Nne: Tarehe 31 Januari, 2020...
Share:

Monitoring Evaluation and Learning Intern requred at Policy Forum,

Position: Monitoring Evaluation and Learning Intern Policy Forum is incorporated as a Non-Governmental Organizations with registration No. NGO/R2/00015. The Policy Forum (PF) is a network of more than 76 Tanzanian civil society organizations drawn together by their specific interest in enhanced public money accountability at both the central and local levels by improving civil society capabilities...
Share:

Majibu ya serikali kuhusu dhamana kwa Wanaotuhumiwa kwa Makosa ya Uhujumu Uchumi

Serikali imesema kuwa endapo mbunge ataona kuwa kuna haja ya kubadilishwa sheria ya makosa ya uhujumu uchumi ili watuhumiwa wa makosa hayo yawe na dhamana awasilishe hoja yake bungeni kwani Bunge ndiyo chombo chenye mamlaka ya kutunga na kubadili sheria. Hayo yamesemwa jana bungeni na Naibu Waziri...
Share:

PICHA: Kangi Lugola Alivyowasili TAKUKURU Kwa Ajili ya Kuhojiwa

Mbunge wa Mwibara na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewasili makao makuu ya ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. ...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa January 31

...
Share:

Research, Monitoring and Evaluation Coordinator at VSO Dar es Salaam

Research, Monitoring and Evaluation coordinator Location: Dar Es Salaam, Tanzania Salary: Competitive Contract type: Permanent Contract length: Open Application Closing Date: 11 Feb 2020 VSO is the world’s leading independent international development organisation that works through volunteers to fight poverty in developing countries. Our high-impact approach brings people together to share skills,...
Share:

Technicians (2 positions) Job at Sahel Trading Co. Ltd

Overview Sahel Trading Co. Ltd registered under section 15 of the companies ordinance 1984 (ACT 2002) invites Applicants for the following position: POSITION: Technicians (2 positions) Bachelor Degree/ Diploma in Electrical Engineering Additional Qualification related to Technician will be preferred Three Years’ Experience in Digital Weighing Systems and Industrial Automation MODE OF APPLICATION:...
Share:

Director & National Research Co-ordinator Morogoro

Our Vision A fair water future for all in Tanzania where water is managed in a fair, efficient and sustainable way to support communities, business and ecosystems. Our Mission To work in partnership to advocate for water security and governance for communities, business and ecosystems thereby making an important contribution to achieving the Sustainable water security of Tanzanians.… Read More » The...
Share:

Thursday, 30 January 2020

Maalim Seif Ajitosa Kugombea Uenyekiti wa ACT-Wazalendo

Mshauri Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho. Maalim Seif amechukua fomu hiyo leo Alhamisi Januari 30, 2020 ofisi ndogo ya chama hicho Vuga Mjini Unguja na kukabidhiwa na Kaimu Katibu...
Share:

Senior Insurance Officer at Air Tanzania Company Limited (ATCL)

Senior Insurance Officer  Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet as part of implementation of its five years Corporate Strategic Plan (2017-2021). In line with this expansion, the company is also making some reforms in its structure, internal operations and staffing to accommodate business… Read More » The...
Share:

Aircraft Engineers at Air Tanzania Company Limited (ATCL)

Aircraft Engineers  (4 Posts) Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet as part of implementation of its five years Corporate Strategic Plan (2017-2021). In line with this expansion, the company is also making some reforms in its structure, internal operations and staffing to accommodate… Read More » The post...
Share:

Ujumbe wa Kwanza wa Mke wa Kobe Bryant Tangu Afiwe na Mume wakena Mwanae

Vanessa Bryant ambae ni Mke wa Legend wa Basketball Marehemu Kobe Bryant, ameandika kwenye Instagram kwa mara ya kwanza toka kifo cha Mumewe, Mtoto wake na Watu wengine kwenye ajali ya Helikopta Jumapili iliyopita. “Mimi na Watoto wangu wa kike tunashukuru mamilioni ya Watu walioonesha support na...
Share:

Waziri Mkuu Atoa Ufafanuzi Changamoto za NIDA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeongeza watumishi wa NIDA pamoja na vifaa ili kuondoa changamoto kwa Watanzania za kupata vitambulisho vya uraia. Amesema hayo leo Alhamisi  akiwa katika kipindi cha Maswali na majibu kwa Waziri Mkuu Bungeni. “Watanzania wengi tulikuwa hatujawafikia...
Share:

Kangi Lugola Kuhojiwa na TAKUKURU Kesho

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola anatarajiwa kuhojiwa kesho na Taasisi ya Kuzuia Na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema walianza kukusanya taarifa za awali ambazo zimeshakamilika na wahusika wote wataitwa...
Share:

Senior Accountants at Air Tanzania Company Limited (ATCL) ( 4 posts)

Senior Accountants (4 Posts) Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the process of revamping its operations and has introduced new equipment to its fleet as part of implementation of its five years Corporate Strategic Plan (2017-2021). In line with this expansion, the company is also making some reforms in its structure, internal operations and staffing to accommodate business… Read More...
Share:

Business Development Officer at World Vision

Business Development Officer Purpose of the position: Under the direction of the Business Development Manager, the Business development Officer will support the efforts of World Vision Tanzania to develop and diversify its sources of funding, including local resource mobilization. Program Development and Resource Acquisition Working with Business Development Manager, SMT and Technical Leads identify...
Share:

MFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA MASHITAKA 28 YA UHUJUMU UCHUMI

Mkurugenzi wa kampuni ya Jaluma General Supplies Limited,  Lucas Mallya  na wenzake wanane wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 28 yakiwemo ya  kukwepa kodi na kuisababishia Serikali  hasara ya zaidi ya Sh31.57 bilioni. Mbali na Mallya...
Share:

SHIRIKA LA AFYA ULIMWENGUNI, WHO LAITISHA KIKAO CHA DHARURA KUHUSU VIRUSI VYA CORONA

Shirika la afya ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vya Corona kama dharura ya afya duniani. Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya watu...
Share:

Field Monitor at World Vision

Field Monitor Purpose of the position: To monitor the delivery, distribution, documentation and reporting associated with all commodities supported to refugees. Work hand in hand with relief committee members Observe mission and core values of World Vision and demonstrate a quality of spiritual life that is an example to others Major Responsibilities: Commodity management Ensure that all commodities…...
Share:

Community Help Desk at World Vision

Community Help Desk   Receiving, recording/documenting and responding to all complaints channeled via help desk Engage into daily pre-address speech Make a link between beneficiaries and Distribution staff. Record all complaints and feedback received related to World Vision programs, commitments or conduct, this can include Food, GBV, security, Peace building & Child protection related...
Share:

Administrative Assistant at World Vision

Administrative Assistant  Other Competencies/Attributes: Must be a committed Christian, able to stand above denominational diversities. Perform other People & Culture duties as required. Qualifications: Education/Knowledge/Technical Skills and Experience The following may be acquired through a combination of formal or self-education, prior experience or on-the-job training: Minimum...
Share:

BUNGE LA ULAYA LAPIGA KURA KURUHUSU UINGEREZA KUONDOKA EU

Wabunge wa bunge la Umoja wa Ulaya wamepitisha kwa wingi sheria inayoruhusu Uingereza kuondoka kwenye Umoja huo ama Brexit, wiki hii na kuondoa kizingiti kikubwa cha mwisho kabla Brexit yenyewe kufanyika.  Bunge hilo limepiga kura ya kuyapitisha makubaliano ya Brexit kwa kura 621 dhidi...
Share:

Information,Communication & Technology Officer at World Vision

Information,Communication & Technology Officer   Purpose of the position: To ensure effective and efficient implementation of all network/ system applications and hardware maintenance for smooth running of ICT operations Communicate World Vision’s Christian ethos and demonstrate a quality of spiritual life that is an example to others. Maintain ICT infrastructure in line with partnership...
Share:

Nutrition Offic at World Vision

Nutrition Officer   Purpose of the position To facilitate effective implementation of Burundian Refugee Supplementary Program targeting children under five, Pregnant and Lactating Women (PWL) and vulnerable groups; the project aims to stabilize and improve the nutritional status of Nduta and Mtendeli refugee Camps Ensure that district health management team, DNuOs, health care providers...
Share:

Head, Priority Banking at Standard Chartered

Head, Priority Banking Job: Retail Banking Primary Location: Africa & Middle East-Tanzania-Dar es Salaam Schedule: Full-time Employee Status: Permanent Posting Date: 29/Jan/2020 Unposting Date: 13/Feb/2020 About Standard Chartered  We are a leading international bank focused on helping people and companies prosper across Asia, Africa and the Middle East. To us, good performance is about...
Share:

MAALIM SEIF KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI KATIKA CHAMA CHA ACT- WAZALENDO

Kama inavyofahamika, Chama cha ACT Wazalendo tayari kimetangaza rasmi kuanza kwa Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa ndani ya Chama baada ya kukamilika chaguzi katika ngazi za chini.  Shughuli ya kuchukua na kurejesha fomu kwa nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi ya Taifa imetangazwa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger