INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya Waziri wa elimu kutangaza kwamba serikali itaanza kuhakiki sifa za wanafunzi walioko vyuoni kama wanasifa za kuwepo vyuoni humo,Chuo kikuu cha sua kimeanza zoezi la kuhakiki wanafunzi hao,MASWAYETU BLOG TEAM ikiongea moja kwa moja na Makamu mkuu wa chuo hicho...
Tuesday, 31 May 2016
TANGAZO KUTOKA JKT : MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO
MABADILIKO
YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA
KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016.
Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) linautangazia umma mabadiliko ya tarehe ya kuripoti
makambini vijana...
BREAKING NEWS:HII HAPA NYONGEZA YA MAJINA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA 2016.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
NYONGEZA YA MAJINA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA 2016.
VIJANA WAFUATAO WAMEONGEZWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KATIKA MAKAMBI MBALIMBALI KAMA INAVYOONEKANA HAPO CHINI.
PIA BAADHI YA VIJANA WAMEHAMISHWA MAKAMBI KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI
WARIPOTI KWENYE MAKAMBI KAMA INAVYOONEKANA ...
MPYA;TAARIFA YA MKOPO KWA WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WALIOHAMISHIWA VYUO MBALIMBALI BAADA YA SERIKALI KUFUNGA CHUO CHAO 2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARDNOTICE ON DISBURSEMENT OF LOANS TO STUDENTS TRANSFERREDFROM THE SAINT JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (SJUIT)WHO WERE EARLIER SUSPENDED FROM STUDIES
The Higher Education Students’ Loans Board wishes to inform Higher Education
Institutions,...
MPYA:DIAMOND PLATNUMZ AONYESHA BASTOLA YAKE HADHARANI,HII HAPA IANGALIE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The CEO of Wasafi Records, Diamond Platnumz, has now joined the list of
celebrities who are believed to be walking around with guns.
Well this comes days after he shared a photo on his gram posing with a gun in what looks like a photo studio.
This...
SUA:TechTalent Initiative Launch, July 22, 2016
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The purpose of TechTalent is to bridge the gap between research
findings, innovation, and commercialization. TechTalent will provide
would-be innovators with training, coaching, and networking to bring
their ideas, prototypes, and technologies to markets, thereby...
MPYA:WANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM WAANDAMANA ,KISA BOOM(AUDIO)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wamegoma kuingia madarasani kutokana na kucheweleshewa pesa yao ya mkopo.
Mmoja wa wanafunzi anaesoma chuoni hapo akiongea na MASWAYETU BLOG TEAM amesema kwamba ,Ni wiki ya kumi sasa.
Jana...
Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya bunge kuonyesha kutokuwa na imani na Naibu Spika Tulia Ackson

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wabunge wa vyama vya upinzani leo wametoka nje kwa mara nyingine kupinga Naibu Spika Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao vya Bunge na kumwachia Bunge yeye na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa
kutoka Bungeni zinaeleza kuwa, wabunge wote wa upinzani...
Vurugu ndani ya Bunge za sababisha Zitto, Mdee, Lissu kusimamishwa kuingia Bungeni

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wabunge wa upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa
kutoshiriki shughuli za bunge kwa mikutano miwili ya bunge hilo la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kung’ang’ania kurushwa
matangazo ya moja kwa moja ya bunge hilo.
Adhabu...