Habazri yenu wadau wa blog hii pendwa ya MAASWAYETU BLOG Leo tena tunaweletea Joining instructions za kozi mbalimbali certificates na diploma kwa mwaka wa masomo 2014/2015.
Tunajua wengi mnazisubiria hizi form kwa hamu sana na mnataka mjue gharama za mafunzo kwa chuo ulichochaguliwa.
Kama kawaida yetu tupo hapa kusaidia watu wote wanaohitaji hizi form za kujiunga na chuo husika.
Ili kujipatia joining instructions ya kozi ulichaguliwa unatakiwa kufanya yafuatayo;
1.Tuma Email address yako
2.Tuma gharama za kutumiwa joining hii Tsh.300 kwa Mpesa
3.Ukishatumiwa kwenye email yako ,nenda staionary yoyote mpe email yako ata kuprintia kwa gharama ndogo zaidi,tofauti na ukienda kama ulivyo kwani gharama yake ni tsh.1500 hadi 2000.
4.Tafadhali tuma email yako kwenda namba 0768260834,then tutakutumia baada ya Mda si mrefu.
5.Maswayetu blog tuna joining za vyuo vipatavyo 42.
NOTE:TUMEFANYA HIVI KUTOKANA NA WATU WENGI KUTOKUWA NA UWEZO WA KUWA NA INTERNET,PIA KAMA UPO SIMIYU-MASWA UNAWEZA UKAPIGA HIYO NAMBA MOJA KWA MOJA KUJIPATIA JOINING YAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO.,KWANI NITAKUPATIA KWA GHARAMA YA tsh.700 tu.
Pia faida kubwa ya kutumia huduma zetu,Utaweza kujibiwa Maswali mbalimbali yanyokutatiza.
Joining instruction for diploma and certificate in health Programmes 2014/2015 | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
TANGAZO KWA WANAFUNZI WA AFYA TU
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja
na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
inapenda kuwataarifu wanafunzi
wote waliochaguliwa kwenye vyuo vya afya vya serikali nchini
kuwa
JOINING INSTRUCTIONS zinapatikana hapa chini, kwenye tovuti ya Wizara (www.moh.go.tz ) na kwenye Profile ya mwanafunzi husika.
Kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye vyuo binafsi mnaombwa kuendelea kuwasiliana na vyuo husika ili kupata hizo JOINING INSTRUCTIONS.
Taarifa kuhusu UFADHILI itatolewa kabla ya Ijumaa ya tarehe (29 Agosti, 2014).
IMETOLEWA NA:
KATIBU MTENDAJI, BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI SOURCE: NACTE NA WIZARA YA AFYA 21st August 2014 |
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
0 comments:
Post a Comment