INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) ANAUTANGAZIA UMMA YA KUWA KWA
SASA HAKUNA MCHAKATO WOWOTE WA UANDIKISHAJI VIJANA WA KUJIUNGA NA JESHI
LA KUJENGA TAIFA KWA "KUJITOLEA" HADI ITAKAPOTANGAZWA.YEYOTE ANAYE
TANGAZA,ANAYEUZA FORM ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AKIBAINIKA
HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YAKE.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JKT