Sunday 16 November 2014

MPYA:COLLEGE YA ENGINEERING SUA WAFANYA BONANZA,2ND YEAR WACHUKUA KOMBE BAADA YA KUWAFUNGA 3RD YEAR FAINALI KWA MIKWAJU 4-1

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MASWAYETU BLOG chini ya mmiliki halali INNOCENT THE BLOGGER BOY  ilikuwa makini kukuletea matukio yote ambapo
Walioshikilia nembo hiyo iliyoandikwa COLLEGE OF ENGINEERING kutoka kushoto ni ENG.STIMA na wa kulia ni ENG.Maulid

vijana walianza asubuhi kwa mziki mnene baada ya hapo waliingia uwanjani kukamilisha shughuli yao hiyo ambapo vijana wa mwaka wa pili walifanikiwa kuonyesha umma kuwa wapo fiti sio tu katika UMEME NA PHYSICS ila hata michezo wanaweza.
Mchezo huo ulimaliziaka kwa ushindi wa goli 4-1 kwa moja kupitia mikwaju ya penalti.
katika picha hapo juu ni baadhi ya vijana wa engineer mwaka wa pili waliochukua kombe siku hiyo WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA HUKU WAKIWA NA JOGOO MKUBWA
 (picha na MASWAYETU BLOG TEAM)



habari hii imeandaliwa na mie mmiliki halali wa blog hii ninaepatikana kwa namba 0768260834
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger