INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wa chuo kikuu cha SOKOINE departiment ya FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY mapema leo hii wamefanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi watakaoongoza chama hicho mwaka wa 2014/2015.
Katika uchaguzi huo kulikuwa na nafasi tano zilizigombaniwa ambazo ni MWENYEKITI,MAKAMU MWENYEKITI,MWEKA HAZINA NA KATIBU,na kufanikiwa kupata viongozi wapya wafuatao;
![]() |
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA HN NA FCS KATIKA PICHA YA PAMOJA |
MWENYEKITI:MIRUMBE YOHANA
MAKAMU:LUHUWAGO SHADRACK
KATIBU HABARI:MBWAGA,INNOCENT
MWEKA HAZINA:MREMI,JUBILETE
YAFUATAYO NI MATUKIO KATIKA PICHA KWENYE UCHAGUZI WA LEO HII;
![]() |
PICHA JUU NI BAADHI YA WAJUMBE KATIKA UCHAGUZI WA LEO |
![]() |
BAADHI YA MEMBERS WA TAFONUSA WAKISIKILIZA JAMBO |
![]() |
MEMBERS WA FOOD SCIENCE WAKIWA MAKINI KUFUATILIA UCHAGUZI |
![]() |
PICHA ZOTE NA MASWAYETU BLOG TEAM |
![]() |
Kutoka kushoto ni ISAYA,MBWAGA,MAYALA,NYANDOA NA CR-KATO |
![]() |
HUYU JAMAA ANAITWA BABA MKAPA AKIWA KATIKA POZI NJE YA ENEO LA UCHAGUZI |
0 comments:
Post a Comment