Monday, 12 April 2021

Picha : BENKI YA CRDB KANDA YA MAGHARIBI YAZINDUA PROGRAMU YA 'WELLNESS' KUIMARISHA AFYA YA MWILI NA AKILI ZA WAFANYAKAZI WAO

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Tabora wakionesha ufundi wa kucheza muziki wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kulia) akipima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi.
****
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Benki ya CRDB Kanda ya imezindua Programu ya Wellness kwa ajili ya kuimarisha afya ya mwili na akili kwa wafanyakazi wa Benki hiyo ili kuzuia magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo Kisukari, magonjwa ya moyo,figo mishipa ya damu, mishipa ya fahamu, figo, saratani, kifua sugu, maradhi ya meno, selimundu na magonjwa ya akili.

Uzinduzi huo umefanyika Jumapili Aprili 10,2021 katika uwanja wa taifa uliopo katika Manispaa ya Kahama Mkoa wa Shinyanga ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha.

Uzinduzi huo uliohudhuriwa na wafanyakazi kutoka matawi mbalimbali ya Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi inayojumuisha mikoa ya Shinyanga,Tabora,Geita na wilaya ya Sengerema uliambatana na zoezi la kupima afya na ushauri nasaha kwa wafanyakazi hao wa Benki ya CRDB sambamba na mazoezi na michezo ya kuimarisha afya ya mwili na akili.

Akizindua Programu ya Wellness, Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha aliipongeza Benki ya CRDB kwa kujali afya za wafanyakazi wake akieleza kuwa kitendo cha kujali afya ni uwekezaji mkubwa na mtaji mkubwa katika maisha ya binadamu.

“Nawapongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa wabunifu. Kitendo cha kuwa na wafanyakazi wenye afya nzuri ni uwekezaji mkubwa. Serikali itaendelea kushirikiana nanyi kwani CRDB ni Benki Bora na yenye mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa. Wafanyakazi wa Benki ya CRDB endeleeni kufanya kazi kwa weledi na uadilifu mlionao”,alisema Macha.

Mkuu huyo wa wilaya alitumia fursa hiyo kuwakumbusha wananchi kuhusu umuhimu wa kupima afya zao badala ya kusubiri waugue ndipo waende hospitali akibainisha kuwa ukijua hali ya afya yako mapema inasaidia kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kufika kwenye vituo vya afya kupata huduma.

Pia, Macha aliwakumbusha wananchi kuzingatia masuala ya ulaji,unywaji na mazoezi.

"Maradhi yote yasiyo ya kuambukiza huwa yanasababishwa na utaratibu wa maisha tunayoishi, hatuna mazoea ya kufanya mazoezi, tunakaa sana ofisini, darasani, kuangalia runinga, na usafiri wa gari, kutoshiriki katika michezo, ulaji chakula usio sahihi, kula vyakula vyenye mafuta mengi, sukari na chumvi nyingi na ulaji wa vyakula vingi vya wanga tofauti na mahitaji ya mwili", alieleza Macha.

Katika hatua nyingine aliwasihi wananchi kutumia taasisi za kifedha zikiwemo Benki kuomba mikopo badala ya kuchukua mikopo umiza kutoka watu binafsi hali inayowarudisha nyuma kimaendeleo.

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini wa Benki ya CRDB, Timothy Fasha amesema Benki ya CRDB imeanzisha Programu ya Wellness ili kuhakikisha kuna afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki hiyo ikiwa ni sehemu ya kuzuia magonjwa nyemelezi yasiyoambukizwa.

Alisema asilimia 70 ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB ni vijana hivyo katika kulinda rasilimali hiyo, wameamua kuanzisha programu ya Wellness ambapo Benki ya CRDB imeingia mkataba na Watalaamu wa afya 'Vitality Wellness (EWP) Ltd' kwa kipindi cha mwaka mmoja ambapo kila mfanyakazi atapimwa afya yake na kupewa ushauri wa kuzingatia kwa wale watakaobainika kuwa na dalili za kuwa na magonjwa yasiyoambukiza.

“Zoezi la kupima afya na kufanya mazoezi litakuwa endelevu katika kila tawi la Benki ya CRDB nchi mzima kwani sisi tunataka kuzuia magonjwa yasiyoambukiza badala ya kutibu. Kila Tawi litaweka utaratibu wa wafanyakazi kufanya mazoezi”,amesema Fasha.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi ambapo aliipongeza Benki ya CRDB kwa kujali afya za wafanyakazi wake akieleza kuwa kitendo cha kujali afya ni uwekezaji mkubwa na mtaji mkubwa katika maisha ya binadamu.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini wa Benki ya CRDB, Timothy Fasha, Kushoto ni Meneja Biashara Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana akimwakilisha Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini wa Benki ya CRDB, Timothy Fasha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi.
Meneja Biashara Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana akizungumza kwa niaba ya Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Said Pamui wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha. Kushoto ni Meneja Ustawi wa Afya ya Mfanyakazi na Uwezeshaji Benki ya CRDB, Crescensia Grace Kajiru
Meneja Ustawi wa Afya ya Mfanyakazi na Uwezeshaji Benki ya CRDB, Crescensia Grace Kajiru akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi.
Afisa Rasilimali Watu Benki ya CRDB, Benjamini Nyangira akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi.
Awali Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kulia) akipima damu wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Awali Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kulia) akipimwa urefu na uzito wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini wa Benki ya CRDB, Timothy Fasha  (kulia) wakipima presha wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kushoto) akipokea majibu ya vipimo vya afya na ushauri wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu wa afya kuhusu Lishe wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu masuala ya Lishe wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha (kushoto) akiendelea kupata maelezo kuhusu masuala ya Lishe wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Awali Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakimsalimia Mkuu wa wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakipima afya zao wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB akipima urefu na uzito huku wengine wakiwa katika foleni wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga , Luther Mneney (kulia) akisikiliza ushauri wa Daktari baada ya kupima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB  wakiendelea kupima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakisikiliza ushauri wa mtaalamu wa afya kuhusu masuala ya Lishe wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiendelea kupima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB akipima urefu na uzito huku wengine wakiwa katika foleni wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB akipima urefu na uzito huku wengine wakiwa katika foleni wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakisubiri kumuona Daktari baada ya kupima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Kushoto ni Mfanyakazi wa Benki ya CRDB akipokea majibu na ushauri baada ya kupima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.

Mtaalamu wa afya akitoa elimu kuhusu magonjwa ya akili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakisubiri kuonana na daktari baada ya kupima afya wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi akiongoza wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi iliyoambatana na zoezi la upimaji magonjwa yasiyo ya kuambukiza, ushauri wa afya, michezo na mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumapili Aprili 11,2021 katika uwanja wa taifa Manispaa ya Kahama.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakifanya mazoezi wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiendelea na mchezo wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Mchezo wa kukimbia na maji yanayovuja ukiendelea wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiendelea na mchezo wa kukimbia kwenye magunia wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Mbio za magunia zikiendelea
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiendelea na mchezo wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakicheza na kukimbia wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakikimbia wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Shinyanga wakicheza muziki wakati wa shindano la kucheza muziki kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. Washindi wa kwanza walikuwa ni Benki ya CRDB tawi la Tabora wakifuatiwa na Kahama, Kahama Social na Shinyanga na wote walipewa zawadi ya fedha taslimu
Majaji wakati wa shindano la kucheza muziki wakiandika matokeo
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kahama Social wakicheza muziki wakati wa shindano la kucheza muziki kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. Washindi wa kwanza walikuwa ni Benki ya CRDB tawi la Tabora wakifuatiwa na Kahama, Kahama Social na Shinyanga na wote walipewa zawadi ya fedha taslimu
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Kahama wakicheza muziki wakati wa shindano la kucheza muziki kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. Washindi wa kwanza walikuwa ni Benki ya CRDB tawi la Tabora wakifuatiwa na Kahama, Kahama Social na Shinyanga na wote walipewa zawadi ya fedha taslimu

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Tabora wakicheza muziki wakati wa shindano la kucheza muziki kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. Washindi wa kwanza walikuwa ni Benki ya CRDB tawi la Tabora wakifuatiwa na Kahama, Kahama Social na Shinyanga na wote walipewa zawadi ya fedha taslimu

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga, Luther Mneney (kulia) na mfanyakazi wa benki hiyo wakicheza muziki kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. 
Burudani ikiendelea kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. 
Afisa Rasilimali Watu Benki ya CRDB, Benjamini Nyangira akitangaza washindi wa shindano la kucheza muziki kwenye Uzinduzi wa Programu ya Wellness yenye lengo la kuimarisha afya ya akili na mwili kwa wafanyakazi wa Benki ya CRDB. Alisema Washindi wa kwanza  ni Benki ya CRDB tawi la Tabora wakifuatiwa na Kahama, Kahama Social na Shinyanga na wote walipewa zawadi ya fedha taslimu
Meneja Ustawi wa Afya ya Mfanyakazi na Uwezeshaji Benki ya CRDB, Crescensia Grace Kajiru akiwapongeza wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Tabora kwa kuibuka washindi shindano la kucheza muziki
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.

Mameneja wa matawi ya Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Mameneja wa matawi ya Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi wakiwa kwenye uzinduzi wa Programu ya Wellness.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Wafanyakazi Kazini wa Benki ya CRDB, Timothy Fasha akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Programu ya Wellness katika Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Share:

French teachers with experience in IGCSE / IB Curricula at Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES,T)

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES,T), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate -IB PYP Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7 -9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the NECTA curriculum from Form 1-6. AKES,T is currently […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Emergency Nurse at Tindwa medical and health service

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Tindwa medical and health service is local registered company dealing with providing Emergency Medical Services, Waste and Environmental Management, Occupation Health and safety both local and international and Medical Supplies Services. Currently, it is looking for a position below… Emergency Nurse Job Title : Emergency Nurse Department : Emergency Medical Services (EMS) Reports to: Head of EMS Summary […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

FANYA MIAMALA BILA KUFELI, BILA STRESS UKIWA NA SIMBANKING 'MZIGO ULIOBORESHWA'

Kuwa na uhuru wa kufanya malipo ukiwa mgahawani haraka na rahisi zaidi kwa kuScan QR Code kupitia SimBanking App bila makato.

Jinsi ya kulipa na QR Code;
👉Fungua App ya SimBanking 
👉 Weka pin yako ya SimBanking 
👉 Bonyeza “Malipo”
👉 Bonyeza “Malipo ya QR”
👉 Chagua “VISA” au “MasterCard”
👉 Bonyeza “Scan Kulipia”
👉 Weka simu kwenye QR Code kuScan

Pakua SimBanking App kupitia PlayStore au App Store. Kujua zaidi kuhusu SimBanking tembelea https://www.benkinisimbanking.crdbbank.co.tz

#BenkiNiSimBanking #MzigoUmeboreshwa

Share:

BINTI WA MIAKA 10 ABAKWA KISHA KUUAWA BAADA YA KUAGIZWA DUKANI

Binti mmoja mwenye umri wa miaka kumi mkazi wa Mtaa wa Rwazi Kata ya Kahororo, Bukoba amekutwa amefariki na mwili wake kutelekezwa ambapo taarifa za madaktari zimeeleza kuwa alibakwa na kisha kuuawa.

Baba mzazi wa msichana huyo, Revocatus John, amesema binti yake alikutwa na mkasa huo baada ya kuagizwa dukani.

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo, amefika nyumbani kwa wazazi wa marehemu kutoa pole sanjari na maagizo ya serikali.

"Mazingira ya kifo chake ni binadamu asilimia mia na ni uhalifu kwahiyo nimeliagiza Jeshi la Polisi liendelee kufuatilia nani alifanya hicho kitendo na katika hili wahuni wote kamata tutajuana kule kule Polisi" amesema Deodatus Kinawilo.

Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo April 12

Share:

MBOWE ATEMA NYONGO TOZO ZA KODI....ASIMULIA ALIVYOKIMBIA NCHINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe ametaja sababu ya kuamua kuondoka nchini na kwenda kuwekeza nchi zingine kuwa ni tozo ya kodi kiasi cha Sh2 bilioni aliyopewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili Aprili 11, 2021 wakati akilihutubia Taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari, akidai kuwa kabla ya kupewa tozo hiyo aliondolewa dhamana katika kesi yake ya uchaguzi na kuwekwa ndani miezi minne na kipindi hicho TRA walimtumia barua pepe kuelezea deni hilo la kodi wakijua fika hakuwa katika nafasi ya kupata ujumbe huo.

“TRA ilisema ninadaiwa kodi ya takribani bilioni mbili kitu ambacho si kweli hakuna deni hilo. Unapoidai kampuni kodi hiyo ina maana inatengeneza faida kwa mwaka bilioni 12 kwa hiyo faida yake itakuwa bilioni 50, hii ni kampuni yangu ndogo ya kifamilia haiwezi kutengeneza hiyo fedha hata kwa miaka 20,” amesema Mbowe.
Chanzo- Mwananchi
Share:

ZITTO KABWE AICHAMBUA RIPOTI YA CAG

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechambua na kuainisha maendeo 10 katika ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), huku akiitaka Serikali kufanya uchunguzi wa kina kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Zitto amefanya uchambuzi huo leo Jumpili, Aprili 11, 2021 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam ambapo pia amegusia makusanyo ya kodi yapo chini, huku akitaka fedha zote zilizochukuliwa na DPP kutokana na kesi za mbalimbali zirejeshwe.

Pia amegusia madai ya wazabuni dhidi ya Serikali yaliyofikia Sh3.1trilioni, huku akisema Sh2.2 trilioni hazikupita Mfuko Mkuu wa Hazina na Hivyo kutoidhinishwa na CAG matumizi yake.

Via Mwananchi
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger