Kuwa na uhuru wa kufanya malipo ukiwa mgahawani haraka na rahisi zaidi kwa kuScan QR Code kupitia SimBanking App bila makato.
Jinsi ya kulipa na QR Code;
👉Fungua App ya SimBanking
👉 Weka pin yako ya SimBanking
👉 Bonyeza “Malipo”
👉 Bonyeza “Malipo ya QR”
👉 Chagua “VISA” au “MasterCard”
👉 Bonyeza “Scan Kulipia”
👉 Weka simu kwenye QR Code kuScan
Pakua SimBanking App kupitia PlayStore au App Store. Kujua zaidi kuhusu SimBanking tembelea https://www.benkinisimbanking.crdbbank.co.tz
0 comments:
Post a Comment