Wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM, wakiwa wamesimama kwa muda wa Dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM (Bara) Rodrick Mpogolo akizungumza katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama, White House Jijini Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara Philip Mangula
Mjumbe wa NEC Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa katika kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma.
Wajumbe mbalimbali wa NEC wakiwa katika Kikao hicho cha NEC kilichofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2021 katika Makao Makuu cha Chama White House Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU
Wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM, wakiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akitii jambo kutoka kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
0 comments:
Post a Comment