INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza
kushusha kodi ya mapato ya Mshahara ( Pay as you Earn -PAYE ) kutoka
asilimia 11 iliyopo sasa hadi asilimia 9.
Rais
amesema ameamua kuchukua umamuzi huo ili kutimiza ahadi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Dakta Philip Mpango, ameliambia Bunge mjini DODOMA, jana
tarehe 30, Aprili, 2016, kwamba serikali inaendelea kuhakiki madeni ya
walimu yaliyowasilishwa kwaajili ya malipo baada ya kubaini kuwepo kwa
udanganyifu kwenye baadhi ya madai hayo
Alisema
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkazi wa Mahembo Manyanda Manyilizu (40) ameuawa kwa kukatwa na kitu
chenye ncha kali kichwani na mdogo wake baada ya kumfumania akiwa na
mkewe.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Dismas Kisusi
alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi katika Kijiji cha...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani
kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge
kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni.
Hiyo ilitokea jana wakati
Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha bajeti...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dokta Philip Mpango, amesema kuwa serikali
imepanga kutumia shilingi 59.5bn kwaajili ya kuviwezesha vijiji nchi
nzima katika kipindi cha mwaka fedha 2016/2017
Dokta
Mpango, aliwaambia wabunge mjini Dodoma, jana tarehe 30, Machi,...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya
Wazee Tanzania Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla .(Picha...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Serikali imetangaza kuokoa kiasi cha Sh15.4 bilioni katika kipindi cha
kuanzia Machi hadi Aprili 24 ambacho kingelipwa kwa watumishi hewa 8,236
ambao wamebainika hadi sasa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utawala Bora, Angela Kairuki aliliambia Bunge jana kuwa kazi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kikao
cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda
kilichofanyika kuanzia tarehe 29 – 30 Aprili, 2016, kimekamilika Mjini
Gisenyi, Rwanda, ambapo wataalam wa sekta mbalimbali wameazimia
kuharakisha maeneo ya ushirikiano baina ya nchi hizi mbili.
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAZIRI
wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, amesema Serikali ya Awamu ya Nne
iliyokuwa chini ya Rais Jakaya Kikwete haikukomba fedha katika Hazina
kama ambavyo baadhi ya wabunge wamedai, hata Shirika la Kimataifa la
Fedha (IMF), lilifanya tathmini na kutoa taarifa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
IDADI
ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa
imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994.
Ripoti
iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika mafunzo
kwa waandishi wa habari mjini...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Applications for Admission into the Undergraduate Degree and Diploma Programmes 2016-2017
Applications are invited from qualified candidates wishing to pursue
various Undergraduate degree and Diploma programmes offered by Muhimbili
University of Health and Allied Sciences for the academic year
2016/2017. Click here to download the programmes and instruction to...