INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Friday, 10 April 2015
Thursday, 9 April 2015
NAFASI ZA SCHORALSHIP NCHINI INDONESIA,MWISHO WA KU APPLY NI APRIL15,2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu;
Kama ilivyokawaida yetu kuwajuza habari mbalimbali indonesia imetoa schoralship kwa vijana nwa kitanzania katika fani mbalimbali,SIFA KUBWA USIWE UMEFIKISHA MIAKA
Habari yenu;
Kama ilivyokawaida yetu kuwajuza habari mbalimbali indonesia imetoa schoralship kwa vijana nwa kitanzania katika fani mbalimbali,SIFA KUBWA USIWE UMEFIKISHA MIAKA
MATUKIO KATIKA PICHA:"AJALI YA BASI LA RATCO NA NGORIKA MAPEMA LEO HII",ANGALIA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu 10 wamekufa katika ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la Mkata katika Kijiji cha Mbweni Wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya saa 5 asubuhi ya leo.
Watu 10 wamekufa katika ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la Mkata katika Kijiji cha Mbweni Wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya saa 5 asubuhi ya leo.
Wednesday, 8 April 2015
COASTAL UNION YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 8-0 KUTOKA KWA YANGA SC
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Timu ya
Yanga SC imeifunga Coastal Union mabao 8-0. Wafungaji Amiss Tambwe
amefunga manne, Msuva mawili, Telela, Sherman. Mechi imemalizika Uwanja
wa Taifa.
MPYA:SUA USAJILI KWA SEMI ESTER YA PILI UMESOGEZWA HADI TAREHE 10 ,04/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
BE INFORMED THAT;
- The registration process has been extended from date 08/04/2015 to 10/04/2015.
- Bursaries offices will be open (for both tuition fee & accommodation fee).
Tuesday, 7 April 2015
VIDEO:DOWNLOAD HAPA JINSI "SHOW YA ALIKIBA CHEKECHA CHEKETUA",ILIVYOFANA DAR
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga
nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar
Live iliyokuwa ikipigwa kwa 'Live Band'.
MPYA:ANGALIA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI SECOND SELECTION (MKOA WA DAR ES SALAAM) WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015-
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza awamu wa pili,endapo ukubahatika
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza awamu wa pili,endapo ukubahatika
MPYA:MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI-SOMA HAPA
Monday, 6 April 2015
J K AELEZA MAGUMU YA UTAWALA WAKE-SOMA HAPA-SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
Wakati
makada wa CCM wakipigana vikumbo