INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Uhamisho kwa Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa January 2015.
...
Thursday, 22 January 2015
Tuesday, 20 January 2015
AJALI: ZAIDI YA ABIRIA 40 WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI WALIOKUWA WAMEPANDA KUGONGANA USO KWA USO NA LORO TEGETA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Zaidi ya abiria 40 wanusurika kifo baada ya gari waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori Tegeta.
Zaidi ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana...
BREAKING NEWZ:BAADA YA UDOM,SASA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO NAO WAGOMA ,SOMA IMEKUAJE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zilizotufikia hivi punde MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG ni kwamba wanafunzi chuo kikuu cha bagamoyo wamegoma kuingia madarasani kutokana na sababu mbalimbali zinazowakumba chuoni hapo.
Sababu kubwa ikiwa ni kucheleweshewa pesa yao ya chakula ijulikanayo kama BOOM...
MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL.2 NYUMBANI KWA MBUNGE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5.
Madawa hayo yalikutwa kwenye...
MPYA:MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo...
Monday, 19 January 2015
MPYA:KWA WALE WOTE KIDATO CHA PILI AMBAO HAWAJAPATA MATOKEO YAO,JAZA FOMU HII KUPATA MATOKEO YAKO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,endapo hujayaona matokeo yako ya kidato cha pili...
Saturday, 17 January 2015
BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA PILI 2014-2015,YATOKA KATIKA MFUMO WA GPA,UFAULU WAONGEZEKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,kwanza napenda kumshukuru Mungu nawe msomaji wangu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,natumaini...
SALUNI YA NGONO YAFUMULIWA! -PICHAZ+STORI KAMILI VIPO HAPA!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
HALI
ni mbaya! Wakati suala la ajira likiwa bado ni kitendawili kikubwa kwa
serikali, Jiji la Dar hivi sasa linatisha, baada ya watu kubuni mtindo
mpya wa kujipatia fedha kwa kujihusisha na biashara haramu ya ngono
katika maeneo yanayotambulika kufanya shughuli nyingine...
Friday, 16 January 2015
ORODHA YA MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI KWA KADA YA AFYA 2014/2015-AJIRA ZA NURSING ZAONGEZWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT yafuatayo ni majina ya watu waliopangiwa ajira mwaka huu 2015.
Endapo utataka kuangaliziwa jina lako tafadhali fanya yafuatayo;
1.tuma jina kwenda namba 0653791475 mfano JOHN PAUL(AJIRA AFYA)
2.Huduma hii itatozwa...
Wednesday, 14 January 2015
BREAKING NEWZ:MGOMO WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA,WANAFUNZI 84 WASHIKILIWA NA POILIS,MWANAFUNZI MMOJA APOTEZA MAISHA HADI MDA HUU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UDOM wagoma
WANAFUNZI 84 WA PROGRAMU MAALUMU YA DIPLOMA YA UALIMU UDOM MBARONI KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO MKOANI DODOMA
Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu...
Tuesday, 13 January 2015
BREAKING NEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WALIOPATA AJIRA WIZARA YA AFYA 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT yafuatayo ni majina ya watu waliopangiwa ajira mwaka huu 2015.
Endapo utataka kuangaliziwa jina lako tafadhali fanya yafuatayo;
1.tuma jina kwenda namba 0653791475 mfano JOHN PAUL(AJIRA AFYA)
2.Huduma hii itatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834 au Tigo pesa kwenda namba 0653791475.
3.tutakujibu...
Tuesday, 6 January 2015
BREAKING NEEWZ:SEKRETARIETI YA AJIRA YATANGAZA NAFASI ZA KAZI ,KILIMO,ENGINNERS,WALIMU MWISHO WA KUOMBA NI JANUARY 18 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/H/24 3 Januari, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma...
TAKWIMU:VYUO VINAVYOONGOZA KWA MATUMIZI YA SIMU ZA SMARTPHONE ,WAKATI WATUMIAJI WAKE WAKITOKA KATIKA FAMILIA DUNI-KIUCHUMI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau pendwa wa blog hii ya MASWAYETU ,leo tunawaletea takwimu mpya za matumizi ya simu aina ya smartphone kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ukilinganisha na maisha ya nyumbani kwao jinsi yalivyo.
Kutokana na simu hizi kuwa gharama huku wanafunzi wa chuo wakilalamika...
TAARIFA YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais hajadharau Bunge
Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa Chama cha Upinzani cha CHADEMA
la leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila.
Habari...