Tuesday 20 January 2015

AJALI: ZAIDI YA ABIRIA 40 WANUSURIKA KIFO BAADA YA GARI WALIOKUWA WAMEPANDA KUGONGANA USO KWA USO NA LORO TEGETA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Zaidi ya abiria 40 wanusurika kifo baada ya gari waliokuwa wamepanda kugongana uso kwa uso na lori Tegeta.
Zaidi ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya  miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori  moja lilionekana kuwa ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la ubungo Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.

ITV imeshuhudia tukio hilo lililovuta hisia za mamia ya wakazi wa Tegeta huku baadhi ya mafundi gerejji wa Tegeta wakijaribu kutumia vifaa maalumu kukata mabati ya magari kwa nia ya kunasua baadhi ya majeruhi walionasa ndani ya COASTA hiyo kusuru abiria walioonekana kunasa katika vyuma vya magari hayo baadhi ya wamashuhuda na Dereva wa COSTA pamoja na kuomba eneo la kibaoni kuweka njia ya mzunguko maarufu kama ROUND ABOUT kwa lengo la kuepusha madereva wanao lazimika kugeuza kwa dharura katika njia kuu maarufu kama UTAN kutokana na njia hiyo kukosa fursa ya kugeuza endapo kuna ulazima wa kufanya hivyo pia wamemtupia lawama Dereva wa Lori kama msababisha ajali kwa kukosa hekima ya kuchukua tahadhari kabla ya kufanya hivyo.
 
Kamanda wa polisi mkoa kipolisi kinondoni  Kamilius wambura amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akieleza kutoa taarifa mara baada ya uchunguzi kufanyika.
SOURCE ITV
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger