
Mhudumu wa saluni ya kuchua akitweta mara baada ya kunaswa na OFM akijihusisha na biashara haramu ya ngono. UCHUNGUZI
Makachero
wa kitengo maalum cha Global Publishers cha Operesheni Fichua Maovu
(OFM) walifanya uchunguzi na kugundua kuwa zipo saluni nyingi jijini Dar
zinazojishughulisha na biashara ya massage (kuchua) lakini ndani yake
wahudumu wanajiuza hadi miili ambapo wateja wakubwa ni waume za watu na
vigogo serikalini..
0 comments:
Post a Comment