Habari zilizotufikia hivi punde MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG ni kwamba wanafunzi chuo kikuu cha bagamoyo wamegoma kuingia madarasani kutokana na sababu mbalimbali zinazowakumba chuoni hapo.
Sababu kubwa ikiwa ni kucheleweshewa pesa yao ya chakula ijulikanayo kama BOOM ,hadi mda huu chuo kikuu hicho kilichopo Pwani kilikuwa katika kufanikisha mgomo huo hautokei.
AFANDE AKIWA KATIKA KUHAKIKISHA USALAMA UNAKUWEPO(picha na maswayetu blog) |
Hata hivyo tulifanikiwa kumhoji mwanafunzi mmoja jina lake tumelihifadhi ambae amesema kuwa"Sisi kama uongozi wa wanafunzi tumefanya jitihada zetu zote kuhakikisha pesa ya mkopo tunapata kwa wakati, hadi hivi sasa pesa ipo kwenye account ya chuo tangu tarehe 23 ya mwezi wa 12/ 2014 ila hadi sasa MUHASIBU anasema tumuongezee muda wa kufanya malipo, kwa mujibu wa mapatano ya tarehe 15/1/2014 ya kwamba ifikapo ijumaa 17/1/2014 atakuwa ameshalipa kwa wote wasiodaiwa na chuo na kwawale wanaodaiwa ataanza kuwaandalia malipo 19/1/2914 ila hadi sasa hajalipa, hatuwezi kuvumikia na jambo hili haliitaji kikao lipo wazi. Mapinduzi ya Kweli yataletwa na sisi wenyewe, mm nadhani ni wakati sasa wa kwenda headquarter kushare nao maumivu tuliyonayo.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na uongozi wa chuo(picha na maswayetu blog) |
picha katika matukio ya kikao cha pamoja |
Baadhi ya picha wanafunzi wakimsikiliza DVC
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA HAWAJUI LA KUFANYA |
polisi akiwa makini katika kuhakikisha ulinzi |
dvc wa chuo akiteta jambo |
Habari zilizotufikia hivi punde MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG ni kwamba wanafunzi chuo kikuu cha bagamoyo wamegoma kuingia madarasani kutokana na sababu mbalimbali zinazowakumba chuoni hapo.
Sababu kubwa ikiwa ni kucheleweshewa pesa yao ya chakula ijulikanayo kama BOOM ,hadi mda huu chuo kikuu hicho kilichopo Pwani kilikuwa katika kufanikisha mgomo huo hautokei.
Hta hivyo Polisi walikuwa wameshafika asubuhi na mapema wakiwa katika hali ya kufanya kazi,kuhakikisha mgomo hautokei,ila baada ya mazungumzo ya mda mrefu ni kwamba mambo yamekuwa ndivyo sivyo hali iliyopelekea askari hao kuanaza kufyatua mabomu kuwatawanya wanafunzi hao.
Hata hivyo tulifanikiwa kumhoji mwanafunzi mmoja jina lake tumelihifadhi ambae amesema kuwa"Sisi kama uongozi wa wanafunzi tumefanya jitihada zetu zote kuhakikisha pesa ya mkopo tunapata kwa wakati, hadi hivi sasa pesa ipo kwenye account ya chuo tangu tarehe 23 ya mwezi wa 12/ 2014 ila hadi sasa MUHASIBU anasema tumuongezee muda wa kufanya malipo, kwa mujibu wa mapatano ya tarehe 15/1/2014 ya kwamba ifikapo ijumaa 17/1/2014 atakuwa ameshalipa kwa wote wasiodaiwa na chuo na kwawale wanaodaiwa ataanza kuwaandalia malipo 19/1/2914 ila hadi sasa hajalipa, hatuwezi kuvumikia na jambo hili haliitaji kikao lipo wazi. Mapinduzi ya Kweli yataletwa na sisi wenyewe, mm nadhani ni wakati sasa wa kwenda headquarter kushare nao maumivu tuliyonayo.
0 comments:
Post a Comment