Sunday, 16 November 2014
MPYA:HUYU NDIE MHITIMU BORA WA UDSM MWAKA 2014,ANA MIAKA 22,GPA YA 4.8
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Huyu ndiye mhitimu bora wa chuo kikuu cha UDSM mwaka 2014, anaitwa Doreen Kabuche ana miaka (22). Alitangazwa kuwa kinara wa ufaulu kwa kupata alama 'A' 32 na 'B+ '6 kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo Doreen Kabuche alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha alama 0.2 ili kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufaulu wa alama 5.
MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFANIKIWA KUHAMA VYUO NACTE 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
PUBLIC NOTICE TRANSFERS OF SELECTED APPLICANTS ON BACHELOR PROGRAMS |
The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline
for transfers (applications and allocation to new institutions) was on 3rd November 2014.
A list of students showing new allocations as per their applications has been posted in/on the NACTE website. Find attached file for list of successful transfers applications
NOTE:
If your name does not appear in the list it means that your application was unsuccessful. |
Saturday, 15 November 2014
MAGAZETI YA LEO NOV 15/2014 UDAKU,MICHEZO NA KITAIFA,KUBWA ZAIDI WABUNGE WAITAKA SERIKALI, MKURUGENZI WA DAR ANG'OLEWE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaidaMASWAYETU BLOG inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo

MPYA:MASTAA KUMFANYIA PATI LOWASA
Friday, 14 November 2014
BREAKING NEWZ:WALIOCHAGULIWA UDOM SPECIAL PROGRAMME KUSOMESHWA BURE HATA KAMA HUKUJAZA FORM ,UNATAKIWA KUWAHI CHUO MAPEMA ILI UJAZE FORM YA MKOPO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO MUHIMU KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAHADA MAALUM YA ELIMU KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI CHUO KIKUU CHA DODOMA
Chuo
Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga
na Stashahada Maalum ya Elimu kwa masomo ya Sayansi na Hisabati kuwa
usajili umeanza tangu tarehe 8/11/2014 na wanatakiwa kuzingatia yafuatayo;
1. Wanafunzi wote waliochaguliwa wanafursa ya kupata mkopo wa kugharamia masomo yao kwa asilimia mia moja (100%)
Wednesday, 12 November 2014
BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE NA WIZARA YA AFYA 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA PAUL(UFADHILI AFYA)
2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA.
KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;

Monday, 10 November 2014
HAPPY BIRTHDAY BROTHER MDUMA,MUNGU AKUJALIE MIAKA MINGI TELE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 09/10/2014 ambapo brother Mduma alikuwa na furaha ya ajabu baada ya kuzaliwa upya
,na kuamua kufanya sherehe kwa kuwakaribisha ndugu na jamaa hata mie mmiliki halali wa blog hii pendwa ya MASWAYETU nilikuwapo.
MASWAYETU BLOG hatukuwa mbali na tukio na tulifanikiwa kuchukua matukio muhimu katika birthday hiyo.

MPYA:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOHAMISHWA MWEZI OCTOBER 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TANGAZO:
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inatangaza orodha ya Majina ya watumishi
wa Umma waliohamishwa kwa VIBALI MAALUMU MWEZI OCTOBER 2014
katika Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchini.
Aidha orodha ya watumishi waliohamishwa katika uhamisho wa kuanzia
Mwezi Feburuari 2012, Juni 2012, Desemba 2012, Juni 2013 na Desemba 2013

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA N A JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wetu wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG,elo tumewaletea majina ya Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi baada ya usaili kukamilika,MASWAYETU BLOG tunaendela kutoa huduma ya kuangalizia majina endapo unataka kujua kama umechaguliwa ;
Ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili kwenda namba 0768260834
mfano.John paul(polisi 2014)
2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu ambayo utailipia
kwa mpesa na tigo pesa kwenda namba
0768260834,na tigo pesa 0653791475 .
3.Hutajibiwa hadi utume pesa ya huduma.
4.Tutakujibu ndani ya mda mfupi mara tu tutakapopokea pesa yako.

Maelekezo Muhimu.
Saturday, 8 November 2014
BREAKING NEWZ:UCHAGUZI MKUU TANZANIA FOOD AND NUTRITION STUDENTS ASSOCIATION(TAFONUSA) UMEMALIZIKA NA KUFANIKIWA KUPATA VIONGOZI WAPYA.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wa chuo kikuu cha SOKOINE departiment ya FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY mapema leo hii wamefanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi watakaoongoza chama hicho mwaka wa 2014/2015.
Katika uchaguzi huo kulikuwa na nafasi tano zilizigombaniwa ambazo ni MWENYEKITI,MAKAMU MWENYEKITI,MWEKA HAZINA NA KATIBU,na kufanikiwa kupata viongozi wapya wafuatao;
HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA HN NA FCS KATIKA PICHA YA PAMOJA |
Thursday, 6 November 2014
MPYA:MOJA YA KIKAO CHA FOOD SCIENCE AND TECHNLOGY -SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE WAKIJADILI JAMBO
Mapema leo hii kulikuwa na kikao cha vijana wenye heshima ya pekee NCHINI HAPA TANZANIA vijana wa chuo cha KILIMO SOKOINE wanaosomea SAYANSI YA CHAKULA,Kuhusu mamabo yanayowahusu kama darasa,kilichofanyikia departiment ya ENGINEERING mnamo mida ya saa tisa arasili,na kujumuisha wajumbe takribani 98,mwaka wa pili na wa tatu.
MASWAYETU BLOG hatukuwa mbali kuwaletea matukio ya picha zote katika kikao hicho angalia picha hizo hapo chini;
BREAKING NEEWZ:SERIKALI YAONGEZA MAJINA MENGINE MENGI YA KIDATO CHA NNE WATAKAOJIUNGA SPECIAL PROGRAMME UDOM 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,chuo kikuu cha dodoma kimetangaza majina ya wanafunzi wengine watakaojiunga na mafunzo ya ualimu special programme udom mwaka wa masomo 2014/2015,hata hivyo zimebaki takribani siku mbili tu vijana hao waanze masomo yao,hivyo basi MASWAYETU BLOG TEAM tunakuomba wape taarifa vijana wote walioombaudom lakini hawakubahatika kupata nafasi hiyo hapo awali kuwa yawezekana wamechaguliwa;
Maswayetu blog tunaendela kutoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wote watakaohitaji kuangaliziwa kama wamechaguliwa kujiunga na chuo hicho katika special programme hiyo,ILI KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO NA EXAMA NAMBA.
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS.1000 TU AMBAYO
UTAITUMA KWA MPESA KWENDA NAMBA 0768260834
AU TIGO PESA KWENDA NAMBA 0653791475
3.TUTAKUJIBU MARA TU TUTAKAPOPOKEA PESA
YAKO.
KUANGALAIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;

Wednesday, 5 November 2014
BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA PAUL(UFADHILI
AFYA)
2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HDAI UTUME PESA.

BREAKING NEWEEZ:MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA RASMI 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT mu wazima wa afya?leo tena tumewaletea matokeo ya darasa la saba 2014/2015.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuanagalizia matokeo ya kwako,shule yako au kijana wako,fanya yafuatayo kuangaliziwa;
1.Tuma jina la mkoa,wilaya,shule na la mwanafunzi kwenda namba 0768260834.( mfano paul
juma,mkoa-arusha,wilaya-maswa,shule-pandahili)
2.Huduma hii itakutoza tshs.1000 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834,TIGO
PESA-0653791475.
3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.MOJA TU TUNAOMBA UTUAMINI.
NOTE:HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA
Tafadhali kuangalia matokeo hayo bonyeza hapo chini;

Tuesday, 4 November 2014
HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA NNE WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA UALIMU NGAZI YA CHETI,SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
NG'WANZA TEACHERS COLLEGE CHUO PEKEE KINACHOPOKEA WANAFUNZI WA CHETI 2014/2015
Habari yenu wadau wapendwa wa BLOG HII YA MASWAYETU leo tunawaletea taarifa njema kwa watu wote wanaotaka kujiunga na ualimu ngazi ya cheti na wanataka kujiunga,basi Chuo cha NG'WANZA KILICHOPO MASWA SIMIYU ni chuo pekee kinachoendela kupokea wanafunzi wote waliokosa nafasi kujiunga na cheti kwa mwaka huu tafdhali wahi nafasi ni chache sana.