Friday, 4 July 2014
HUYU HAPA LULU TENA NA KITUKO KINGINE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.
GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.
Thursday, 3 July 2014
Huyu ndie Mwigulu Nchemba Akiweka Siasa Pembeni ni Mwelewa na Mjuzi wa Mambo
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake,
nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini,
wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia
kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa
MATUKIO KATIKA PICHA:WANAFUNZI WA SUA WAKIWA KATIKA PILIKA PILIKA ZA MITIHANI YA UE JULY 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine
kilichopo mjini morogoro ambao wanaendelea na mitihani yao ya mwisho wa muhula
wa pili(2ND SEMI ESTER)
Wamekutwa na kamera yetu ilikuwa ikipita maeneo mbalimbali chuoni hapo
kwa ajili ya kuangalia hali ya wanafunzi hao wawapo kwenye mitihani yao hiyo ya
mwisho.
Hawa ni wanafunzi wa kozi ya engineering iliyopo
chuoni hapo wakiwa
katika discussion ya kwa ajili ya maandalizi ya mitihani yao.
( picha na innocent the-blogger)
katika discussion ya kwa ajili ya maandalizi ya mitihani yao.
( picha na innocent the-blogger)
TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
Plot No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O. Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: info@heslb.go.tz Website: www.heslb.go.tz
TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo na umma kwa ujumla, juu ya kuibuka kwa genge la matapeli wanaowalaghai wananchi ambapo hujitambulisha kuwa wao ni wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo.

RATIBA NA MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO TAREHE 5 JULAI 2014 SEKRETARIETI YA AJIRA
MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO TAREHE 5 JULAI 2014 |
MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO
WAJIRI:-
1. College Of Business Education (CBE)
2. Small Industries Development Organisation (SIDO)
3. Social Security Regulatory Authority (SSRA)
4. Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA)
MAHALI: CHUO CHA MWALIMU NYERERE
TAREHE: 05/07/2014

MUDA WA KUANZA USAILI
AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
WAHUSIKA:
1.COMPUTER LAB.TECH - CBE
2.T.A. MATHS AND STATISTICS - CBE
3.PRINCIPAL ACADEMIC OFFICER - CBE
4.LINGUISTIC KISWAHILI – MNMA
5.T.A. ECONOMICS – MNMA
6.T.A. PROCUREMENT - MNMA
ORODHA YA MAJINA YA AJIRA MPYA ZA UALIMU YALIYOTOLEWA TAR.30 JUNE 2014
TANGAZO
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Utangulizi:
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, kwa awamu ya pili,
imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu
Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo
walivyopangiwa kwa ajira ya Machi 2014.
Maelekezo kwa Walimu Ajira Mpya
1.Kuripoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri walizopangiwa kwa ajili ya kupangiwa vituo kuanzia tarehe 30/06/2014, hadi tarehe 03/07/2014.
2.Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 03/07/2014 hatapokelewa tena na nafasi yake atakuwa ameipoteza.
MAJAMBAZI WASHAMBULIA GARI LA MAGEREZA KWA RISASI DAR-SOMA STORI KAMILI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hiyo gari ndogo ilipofika Maeneo ya Million Hairs Salon jirani kabisa na Regency park hotel ikakwama kwenye foleni ndefu sana. Nyuma ya hiyo gari ndogo kulikuwa na magari mengine yameunga hiyo foleni.
SHUHUDA
Ishu
ilikuwa hivi, kuna gari ndogo ilikuwa inatokea njia ya Kawe kwenda
Shopperz au ilikuwa inaelekea mjini kwa kutumia hii njia ya Mwai Kibaki
road.
Hiyo gari ndogo ilipofika Maeneo ya Million Hairs Salon jirani kabisa na Regency park hotel ikakwama kwenye foleni ndefu sana. Nyuma ya hiyo gari ndogo kulikuwa na magari mengine yameunga hiyo foleni.
SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaidamaswayetu blog inakupa vichwa vya habari vya magazeti
yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti
mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa
za mbele za magazeti ya leo.
AUNT EZEKIEL: AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE
MBASHA ADAI KUWA ATAMSHTAKI GWAJIMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mambo juu ya mambo! mvumo mkali wenye kuogofya unaendelea kutamalaki katika ndoa ya wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, safari hii ‘topiki’ siyo zile tuhuma za ubakaji zilizopo mahakamani.

Wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha,
Mbeba ‘niuzi’ wa awamu hii ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima, Josephat Gwajima, baada ya Mbasha kuona isiwe tabu, hivyo
kuamua kupambana na mtumishi huyo wa Mungu kwa njia ya kiroho zaidi.Wednesday, 2 July 2014
ANGALIA HAPA ADA ILIYOPITISHWA NA SERIKALI KWA VYUO VIKUU MBALIMBALI HAPA TANZANIA
LIST OF APPROVED PROGRAMME FEES
S/N
|
Code
|
Name
|
InstitutionName
|
Programfee
|
Bachelor Degree in Adult and Continuing
|
||||
1
|
AE001
|
Education
|
Institute of Adult Education
|
975000
|
Bachelor of Arts with Education
|
||||
Archbishop Mihayo University College
|
||||
2
|
AM001
|
of Tabora
|
950000
|
|
Bachelor of Arts in Sociology
|
||||
Archbishop Mihayo University College
|
||||
3
|
AM002
|
of Tabora
|
1,200,000
|
|
Bachelor of Arts in Business Administration
|
||||
Archbishop Mihayo University College
|
||||
4
|
AM003
|
of Tabora
|
950,000
|
|
Bachelor of Law
|
||||
Archbishop Mihayo University College
|
||||
5
|
AM004
|
of Tabora
|
950,000
|
|
Bachelor of Arts in Public Relations and
|
||||
Marketing
|
Archbishop Mihayo University College
|
|||
6
|
AM005
|
of Tabora
|
950,000
|
|
7
|
AR001
|
Bachelor of Architecture
|
Ardhi University
|
1,100,000
|
8
|
AR002
|
Bachelor of Architecture in Interior Design
|
Ardhi University
|
1,100,000
|
JESHI LA KUENGA TAIFA(JKT):TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UPOTOSHAJI TAARIFA ZILIZOSAMBAA KUFARIKI VIJANA WA MUJIBU WALIOPO KIKOSI CHA OLJORO ARUSHA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UMMA UFAHAMU KUWA TAARIFA HIZO SI ZA KWELI NI UPOTOSHAJI KWA VIJANA NA WATANZANIA. UKWELI NI KWAMBA KUNA KIJANA MMOJA WA KIKE HONORATA VALLENTINE OISO ALIYEFARIKI KATIKA KIKOSI CHA JKT OLJORO ARUSHA KWA UGONJWA WA UPUNGUFU WA DAMU (ANAEMIA) ULIOSABABISHWA NA MALARIA. SIO VIJANA WATATU KAMA
TANGAZO KWA UMMA
TANGAZO
JESHI LA KUJENGA TAIFA, LINAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KWA
KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA MANENO (SMS) KATIKA SIMU ZA VIGANJANI NA MTANDAO
WA JAMIIFORUM.COM, KWAMBA VIJANA WA KUJITOLEA NA MUJIBU WA SHERIA
WANAOENDELEA NA MAFUNZO KATIKA MAKAMBI YA JKT WANAKUFA KWA UKATILI,
WAKITOLEA MFANO KAMBI YA JKT OLJORO ARUSHA KWAMBA KUNA VIJANA WATATU
WAMEFARIKI DUNIA.UMMA UFAHAMU KUWA TAARIFA HIZO SI ZA KWELI NI UPOTOSHAJI KWA VIJANA NA WATANZANIA. UKWELI NI KWAMBA KUNA KIJANA MMOJA WA KIKE HONORATA VALLENTINE OISO ALIYEFARIKI KATIKA KIKOSI CHA JKT OLJORO ARUSHA KWA UGONJWA WA UPUNGUFU WA DAMU (ANAEMIA) ULIOSABABISHWA NA MALARIA. SIO VIJANA WATATU KAMA
TANGAZO LA MAJINA WANAOHITAJIKA KIWENYE USAILI JULY 01 2014-SEKRETARIETI YA AJIRA.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya e -
Government Agency (eGA) anatarajia kuendesha usaili na hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1. Ukaguzi wa vyeti utafanyika saa 1:00 kabla ya muda wa mtihani wa
mchujo kuanza.