INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Friday, 27 June 2014
MARCIO MAXIMO:KOCHA WA YANGA AWA HABARI YA MJINI,KILA KONA MAXIMO SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kocha Marcio Maximo.
WAKATI Gazeti la Championi linaanza
kuripoti juu ya ujio wa Kocha Marcio Maximo mnamo Mei 24, ambapo pia
ndiyo lilikuwa gazeti la kwanza kabisa kuripoti juu ya Mbrazili huyo
kuja nchini kuinoa Yanga, ilionekana kama ni ndoto, hatimaye neno
limetimia.
MAHABUSU GEITA WAVUA NGUO KUGOMEA HALA MBAYA GEREZANI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mahabusu Mkoani Geita leo wameamua kuvua nguo,wakidai haki zao,uamuzi huo uliibua tafrani mpaka jeshi la Polisi kuingilia kati. |
WEREMA AFUNGUKA:ADAI NINA WATOTO ALAFU NATUKANWA?,KASHFA YAINGIA SURA MPYA SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma
Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita
mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa
kusuluhishwa. Jana asubuhi baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai,
kuahirisha shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Mbunge wa Ilala,
Mussa Azzan ‘Zungu’, aliwakuta Werema na Kafulila wakiendeleza mzozo nje
ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
NECTA YATANGAZA,ALAMA ZA MITIHANI YA MOCK SASA KUTUMIKA KAMA CONTINUOS ASSESMENT
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MATOKEO ya Mtihani wa Majaribio (Mock)
kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani,
yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo
ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na
asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.
PENNY, WEMA USO KWA USO-STUDIO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake.

NISHA AWAJIBU WANAOMWITA MCHAWI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOYStori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.
MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.
MZEE WA KANISA AKURUPUSHWA GESTI-BAADA YA KUFUMANIWA NA BINTI WA KIZAI KIPYA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake.

WABUNGE WANUKA RUSHWA-DODOMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAKATI
muswada wa kupunguza misamaha ya kodi unatarajia kujadiliwa wakati
wowote, kuna hofu kwamba baadhi ya wabunge wamehongwa na wafanyabiashara
waliopiga kambi mjini hapa ili kuukwamisha.
Thursday, 26 June 2014
SUAREZ AADHIBIWA MIEZI MINNE na MECHI TISA NJE,BAADA YA KUMN'GATA MCHEZAJI MMWENZAKE
USAJILI MAN UNITED:HERRERA ATUA MAN UNITED, AKABIDHIWA JEZI.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KIUNGO Ander Herrera amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 29 kwenda Manchester United akitokea Athletic Bilbao.
KIUNGO Ander Herrera amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 29 kwenda Manchester United akitokea Athletic Bilbao.
NGUMI BUNGENI:JAJI WEREMA AMFANANISHA MBUNGE KAFULILA NA TUMBILI TAFRANI YAIBUKA, MAWAZIRI WAINGILIA KATI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili.