Thursday, 29 May 2014
HOFU YATANDA WASAMARIA WEMA WAINGIA MITINI DHAMANA YA WAZAZI WA MTOTO WA BOKSI
HATIMAYE
wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4
wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka
ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu
waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitini.
THEY HAVE GONE TOO SOON! WAMEKWENDA MAPEMA MNO!
RECHO:
Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake
mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda
mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988 KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS…
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana
ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa
kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya
maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi
ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na
kuzitafututia ufumbuzi.
TAZAMA PICHA ZA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AKIONYESHA VITU VYAKE NI BALAAA KWELI.....
Ni
aibu kwa msomi kuweka picha za nusu uchi mtandaoni cheki huyu mmoja wa
wanachuo wa chuo kimojawapo hapa dodoma ameweka picha hizi mtandaoni
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PICHA
MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam
linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa
mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya
kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Wednesday, 28 May 2014
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/G/23 27 Mei, 2014 KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda
kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili
kuanzia tarehe 09 Aprili, 2014 hadi tarehe 09 Mei, 2014 kuwa
walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi
walivyopangiwa kwa muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za
kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates)
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na
mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"
HABARI ZILIZOTUFIKIA MDA SI MREFU NI KWAMBA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE WAMEGOMA KUINGIA MADARASANI KUTOKANA NA MWENZAO MMOJA KUZIMIA DARASANI WAKATI MWALIMU AKIWA ANAFUNDISHA DARASANI.
MWANAFUNZI HUYO MWAKA WA PILI KOZI YA AGRICULTURE GENERAL MWAKA WA PILI AMEANGUKA GHAFLA DARASANI KUTOKANA NA KUTOKULA KWA MDA WA SIKU MOJA HUKU AKIWA ANASHINDIA MAJI YA KUDOWNLOD YAJULIKANAYO KAMA MOZILA FIREFOX.
HADI SASA HAIJAJULIKANA NI LINI WATAINGIA MADARASANI,HUKU WAKISHINIKIZA CHUO KUWALIPA HELA YAO YA CHAKULA.