Umoja wa Waimbaji Mwanza wameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuimba wimbo maalumu Walioupa jina la Tutakukumbuka Magufuli.
Miongoni mwa Waimbaji hao ni pamoja na Pascal Kadushi, Nema Ng'asha, Emmanuel Robert, Paul Peter, Vanessa Laban, Tumaini Lawi, Mariam Gerald, Emmanuel Francis, Betty Kageza, Double D Inano, Moses Matinde, Rebecca Msenyele, Happiness Shamawele, Victor Tumaini, Adolf Nzwala, Derick Ndonge, Happiness Mbwaga, Ben William na Naomi.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa
0 comments:
Post a Comment