Monday, 22 March 2021

UTARATIBU WA KUAGA MWILI WA MAGUFULI WABADILISHWA....SASA WANANCHI HAWATAPITA MBELE YA JENEZA

...
Viongozi mbalimbali wameanza kuingia katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli huku utaratibu ukibadilishwa.

Utaratibu wa kuaga mwili wa Magufuli umebadilishwa ambapo sasa wananchi hawatapita mbele ya jeneza lenye mwili wake badala yake walio ndani ya uwanja huo wataaga mwili ukiwa kwenye gari na utazungushwa uwanjani hapo mara tano ukiwa katika gari maalum.

Via Mwananchi


UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger