Sunday 28 March 2021

RAIS SAMIA AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI 'TPA'

...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA Mhandisi Deusdedit Kakoko, kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa fedha bandarini.

Rais Samia amechukua hatua hiyo leo Jumapili Machi 28, 2021 baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger