MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange akizungumza wakati wa ziara ya siku moja ya mafunzo mara baada ya kufika Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (Tanga Uwasa) kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja na Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanga Uwasa Dkt Ally Fungo akizungumza wakati wa ziara hiyo kushoto ni MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange
Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly akisisitiza jambo wakati wa ziara hiyo kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja
MTAALAMU wa Mazingira Tanga Uwasa Ramadhani Nyambuka akieleza jambo wakati wa ziara hiyo kulia ni Meneja Ufundi wa Tanga Uwasa Mhandisi Rashid Shabani
Sehemu ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) wakifuatilia maelezo kuhusu namna ya uhifadhi wa mazingira kutoka kwa Mtaalamu wa Mazingira Tanga Uwasa Ramadhani Nyambuka
Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly katikati akisisitiza jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange kushoto wakati wa ziara hiyo kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja wa kwanza kushoto ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanga Uwasa Dkt Ally Fungo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange kushoto akiteta jambo na Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly wakati wa ziara hiyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati jeupe ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanga Uwasa Dkt Ally Fungo
Mwenyekiti wa Kikundi cha Uwamakizi wilayani Muheza Twaha Rajabu kushoto akieleza namna wanavyotunza mazingira katika vyanzo vya maji kwa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Dawasa wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange
Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly kushoto akiteta jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja
Maji yakitiririka kutoka kwenye bwawa la mabayani
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Dar es Salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange katika akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa bodi hiyo wakati walipotembelea bwawa la mabayani wakati wa ziara ya siku moja ya mafunzo Jijini Tanga kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanga Uwasa Dkt Ally Fungo kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja
0 comments:
Post a Comment