KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, kufanya kampeni kwa muda wa siku saba kwa madai ya kukiuka kanuni na taratibu za uchaguzi.
0 comments:
Post a Comment