Shujaa Dkt John Pombe Magufuli is Back na Leo Jumatatu Oktoba 19 ameendelea kuwasha Mitambo ya Kunadi Sera na Ilani bora sana ya Maendeleo ya CCM na haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea huyo wa Urais wa CCM Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja Vya Mwanakalenga, Bagamoyo Mkoani Pwani.
0 comments:
Post a Comment