Tuesday, 20 October 2020

MAGUFULI KURINDIMA MOSHI MJINI KESHO AWAMU YA MWISHO KAMPENI ZA UCHAGUZI

...


Awamu ya 6 na ya Mwisho ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Zinaendelea kurindima na baada ya Pwani na Tanga, Sasa Kesho Mitambo ya Ushindi inahamia Moshi. Ni Kesho Jumatano Oktoba 21, 2020 ataunguruma Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro. Twende na JPM, Kiongozi Mpole na Mchapakazi.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM

 



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger