Meneja wa Kinywaji cha Konyagi Tanzania Pamela Kikuli katikati akionesha muonekano mpya wa nembo mpya ya kinywaji hicho wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tafrija ya uzinduzi huo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Kinywaji cha Konyagi Tanzania (kulia) Pamela Kikuli akisisitiza jambo wakati akionesha muonekano mpya wa nembo mpya ya kinywaji cha Konyagi wakati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika tafrija ya uzinduzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
Meneja wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli (wa tatu kulia) akiangalia namna ya uchanganyaji wa konyagi unavyofanyika kutoka kwa mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi kwenye Tafrija hiyo iliyofanyika mwisho mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Meneja wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli akishuhudia mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi akionesha umahiri wake namna kinywaji hicho kinavyopaswa kuchanganywa na hatimaye kupatikana ladha murua, kenye Tafrija iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Meneja wa kinywaji cha konyagi Tanzania,Pamela Kikuli (wa pili kulia) akionja ladha ya kinywaji cha Konyagi kilichochanganywa kwa utaalamu wa hali ya juu kutoka kwa mmoja wa waataalam wa kuchanganya konyagi katika Tafrija iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment