Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia tiketi ya CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi anaendelea kuisimamisha Zanzibar katika safari ya Kufika kila eneo la Mzanzibar Kunadi Sera za CCM na Leo Jumatatu Oktoba 19 alikuwa Paje Wilaya ya Kusini Mkoani Unguja Kusini. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni.
0 comments:
Post a Comment