Friday 20 February 2015

HAYA HAPA MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA NA VITUO VYAO-MASWAYETU BLOG

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                       
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili kuboresha utendaji kazi. Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba (27) zilizotokana na:
  1. Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3
  2. Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa Mikoa
  3. Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na
  4. Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu wapya wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vya sasa.
  1. Soma TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI hapa
  2. Soma MKAO WA WAKUU WA WILAYA BAADA YA MABADILIKO YA TAREHE 18.02.2015 hapa
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger