Thursday 26 June 2014

RATIBA YA HATUA YA 16 BORA -KOMBE LA DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

DAKTARI AKUTWA AKITAKA KUMTOA MIMBA MWANAFUNZI-DAR ES SALAAM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Stori: Waandishi wetu KABAANG! Dokta mmoja aliyefahamika kwa jina la Herman amenaswa katika dispensari moja iliyopo Buguruni Kwamnyamani jijini Dar akijiandaa kumtoa mimba mwanafunzi.
Share:

WATOTO WAWILI WALIPULIWA BAGAMOYO-WAZIKWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora  Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani.
Share:

JACK PATRICK AFYA YAKE SI NZURI GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

UNAWEZA kusema ni majanga juu ya majanga yanazidi kumkumba modo wa Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ baada ya wiki iliyopita kushindwa kupanda kortini kufuatia kutetereka kwa afya yake bila kufafanuliwa.
Share:

BABY MADAHA:VIFO VYANIPA SOMO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kufuatia vifo vya wasanii vilivyotokea mfululizo, mwigizaji Baby Joseph Madaha amelazimika kubadili mtindo wake wa maisha na kuishi kitakatifu.
Share:

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
01_99c8b.jpg
Share:

Wednesday 25 June 2014

RATIBA YA MTIHANI CSEE 2014,MITIHANI KUANZA 03/11/2014


NECTA'S LOGO(06th – 23rd October, 2014 – 051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL) 

Monday 03/11/2014  
011 
Civics  (SC & PC) 
   8:00 – 10:30 
022 
English Language (SC & PC) 
2:00 – 5:00
Tuesday 04/11/2014  
041
Share:

NIGERIA YATINGA 16 BORA KUTOKA AFRIKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 
Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina.
Share:

MTOTO AKOTWA KAMBI YA JESHI-MOROGORO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

ASKARI wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kambi ya Pangawe mkoani Morogoro wamemuokota mtoto mwenye umri wa miaka sita, Mwajuma Athuman aliyedai kukimbia mateso kutoka kwa mama yake mkubwa Juni 17, mwaka huu.
Share:

WEMA SEPETU AZIMIA GHAFLA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


CHUKI tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza fahamu.
Share:

MARCIO MAXIMO ATUA DAR-KUIFUNDISHA YANGA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MWANAFUNZI WA RUAHA UNIVERSITY -IRINGA ACHOMWA MAFUTA YA TAA BAADA YA KUTOKA USIKU KUANGALIA KOMBE LA DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
munh_bb1a1.jpg
Polisi mkoani iringa wanawashikilia walinzi 4 amabo wanatuhumiwa kumchoma moto mwanafunzi wa chuo kikuu cha ruaha (25) anaesomea masomo ya sheria.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY 
3_55acf.jpg
Share:

SUAREZ ANG'ATA MTU MENO-KOMBE LA DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYLuis Suarez faces lengthy ban for biting Italy defender Giorgio Chiellini in World Cup clash as Fifa investigate
Jana tumeona mcheza wa soka umevamiwa na wasiopaswa kuwa uwanjani. Nimetania kwenye KwanzaJamii sports extra leo asubuhi kuwa Suarez unapoanza mpira alipaswa akamatwe na apelekwe kufungiwa kwenye matyndu ya wanyama wakali wafugwao!
Share:

ANAOMBA MSAADA-TUMWONEE HURUMA,ANA MIAKA 25

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo uvimbe huo ulianza kama 
Share:

MUIMBAJI INJILI AKUTWA ANAJIUZA MAENEO YA LUMUMBA DAR-NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MAMBO YA VIGODORO HAYA TAZAMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


       

Mi sitii neno hapa leo, jionee mwenyewe balaa la wazee hawa....Kweli ujana mwisho Chalinze niaje..!
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger