Tuesday, 30 August 2016

Mtoto wa Shule Alivyofumaniwa na Mwanaume wa zaidi ya Miaka 60 Tanga

August 29 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Tanga ambapo mzee mmoja kafumaniwa na mkewe akiwa na mtoto wa shule wa miaka 14. Mjomba wa mtoto ameeleza kuwa mtoto amekuwa akijiandaa asubuhi na mapema sana na anaaga anaenda shule lakini...
Share:

DALADALA LAGONGA MAGARI MATATU MAJI MATITU TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

Wananchi wakiangalia ajali iliyosababishwa na daladala lenye namba za usajili T 397 BVB linalofanya safari zake kati ya Temeke na Gongo la Mboto kwa kuyagonga magari mengine matatu eneo la Maji Matitu Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Katika ajali hiyo dereva wa gari dogo namba T 628 DFE...
Share:

UVCCM Waahirisha Maandamano Yao, Watii Agizo la Jeshi la Polisi

Agosti 22, 2016 Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi nzima yenye lengo la kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dk John Pombe Magufuli kwa utendaji wenye tija, ufanisi na uliorudisha...
Share:

ORODHA YA MAJINA YA WASHINDI WA 2016 MTV VIDEO MUSIC AWARDS (VMAS)

  Usiku wa jana kwenye Tuza za MTV  VMAS, Mwanadada Beyonce aliibuka mshindi zaidi kwa kuondoka na tuzo saba alizozipata kutoka kwenye vipengele tofauti tofauti alivyokuwa akigombania na wenzie kama kina Adele, Rihanna na wengineo. Orodha kamili ya vingele na majina ya washindi...
Share:

Monday, 29 August 2016

Sekta ya Elimu Yaongoza kwa Watumishi Hewa

Serikali imeendelea kufanya msako wa kuwabaini watumishi hewa ambapo mpaka kufikia tarehe 20 mwezi huu jumla ya watumishi 16,127 wamebainika kukosa vigezo vya kuajiriwa huku sekta ya elimu ikitajwa kuongoza. Takwimu hizo zinatolewa na naibu waziri wa fedha na mipango Dkt. Ashatu Kijaji...
Share:

VIDEO:ASKOFU GWAJIMA KUMRUDISHA AMINA CHIFUPA

Sina maneno mengi nimekuwekea VIDEO hapo chini...
Share:

Vituo viwili vya Redio vyafungwa kwa muda.

Serikali yafungia vituo viwili vya redio nchini kutokana na kurusha hewani taarifa za kichochezi zinazoweza kuchangia uvunjifu wa amani.Tamko la kufungwa kwa vituo hivyo vya redio limetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipokuwa...
Share:

Lowassa, Mbowe, Mnyika wakamatwa

  Viongozi wa Chadema wamekamatwa na polisi na kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano. Akizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema waliokamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowassa, Freeman Mbowe, John...
Share:

ANGELA KAIRUKI: SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI ELFU 71 MWAKA HUU WA FEDHA 2016

  "SERIKALI ITAAJIRI WATUMISHI 71 ELFU MWAKA HUU WA FEDHA" "ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA LAKAMILIKA KWA 70%" "WAAJIRIWA WATARAJIWA WASIHOFU AJIRA ZIPO TU...
Share:

ANGELA KAIRUKI: SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI ELFU 71 MWAKA HUU WA FEDHA 2016

  "SERIKALI ITAAJIRI WATUMISHI 71 ELFU MWAKA HUU WA FEDHA" "ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA LAKAMILIKA KWA 70%" "WAAJIRIWA WATARAJIWA WASIHOFU AJIRA ZIPO TU...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATATU AGOSTI TAREHE 29.8.2016

...
Share:

Sunday, 28 August 2016

CHADEMA: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kuhusu picha zinazoashiria shari. Yanayowakuta Chama cha Chadema Tanganyika Ndio hayo hayo yanayo endelea kuwakuta Chama cha CUF na Wafuasi wao tokea miaka 20 ya Vyama Vingi ianzishwe Zanzibar. CCm wamekuwa wakitumia uniform za CUF kwakufanya shari...
Share:

JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT):TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKANUSHA VIJANA WA KUJITOLEA KURIPOTI KAMBINI

  TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linapenda kukanusha taarifa potofu zinazosambazwa kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye baadhi ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii inayoeleza kuwa” JKT linawataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Kujitolea...
Share:

Mwalimu Mbaroni kwa Kuwapa mimba Wanafunzi Watano

  Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Nyakabungo wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, anatuhumiwa kuwapa ujauzito wanafunzi watano wa shule hiyo. Wanafunzi hao wamebainika kuwa na ujauzito, baada ya uongozi wa shule hiyo kuona mabadiliko kwenye miili yao na kuamua kuwapima afya. Mkuu wa shule,...
Share:

Wakurugenzi Watano Tpdc Wasimamishwa Kazi Kupisha Uchunguzi

...
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI TAREHE 28.8.2016

...
Share:

Saturday, 27 August 2016

Angalia Picha 30: ASKARI WA JESHI LA POLISI SHINYANGA WAKIFANYA MAZOEZI KUJIANDAA KUKABILIANA NA UHALIFU

Leo Jumamosi,Agosti 27,2016 Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limeendelea kufanya ya mazoezi ya utayari wa kukabiliana na vitendo vya kihalifu. Akiongoza mazoezi hayo,Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro amesema mazoezi hayo aliyoyataja...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger