Thursday, 2 May 2024

CDF MKUNDA AELEZA UMUHIMU WA JKT KATIKA ULINZI WA TAIFA

MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian akikagua gwaride kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya ya Kijeshi kwa vijana wa kujitolea Operesheni miaka 60 ya JKT kikosi cha Jeshi 838 Maramba MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian akikagua gwaride kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya ya Kijeshi...
Share:

Wednesday, 1 May 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 2, 2024

...
Share:

AMUUA MWENZAKE KWA KISU WAKICHEZA MUZIKI BAA

Mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, Kadi Msela, ameuawa kwa madai ya kuchomwa kisu na rafiki yake aliyetajwa kwa jina moja la Amir, wakati wakicheza muziki baa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amethibitisha tukio hilo lililotokea Aprili 20, mwaka huu. Akizungumza...
Share:

NEMC YAPIGA KAMBI KANDA YA ZIWA, ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA ZEBAKI YATOLEWA .

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali pamoja na Ofisi ya Afisa madini Mkazi Mkoa wa Mwanza wametoa elimu ya matumizi sahihi ya zebaki kwa wachimbaji kutoka mgodi wa Chata, Shokeraera, Shilalo na luhala zilizopo Wilaya ya Misungwi...
Share:

ORYX GAS YAGAWA BURE MAJIKO YA GESI KWA WAHARIRI,WAANDISHI DAR

MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Orxy Energies, Benoit Araman, akiwa na wahariri na waandishi wa habari, baada ya kukabidhi majiko na mitungi ya gesi ya kupikia, Kigamboni, Dar es Salaam, jana. ******************* WAHARIRI na Waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali nchini wamepatiwa mitungi 100 ya...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger