
Kufuatia malalamiko na mjadala mkubwa mara baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi kwani matarajio ya wengi ilikuwa ni kushuka kwa gharama hizo leo Aprili 2,2021, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano...