Friday, 2 April 2021

SERIKALI YATANGAZA KUSITISHA BEI MPYA ZA BANDO 'VIFURUSHI' VILIVYOZUA GUMZO LEO

...
Kufuatia malalamiko na mjadala mkubwa mara baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi kwani matarajio ya wengi ilikuwa ni kushuka kwa gharama hizo leo Aprili 2,2021, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala, amesema matumizi ya bei mpya ya vifurushi yamesitishwa kwa muda akieleza kuwa uamuzi huo utahusu vifurushi vya data pekee huku vile vya ujumbe mfupi wa maneno na kupiga zitaendelea kama ilivyotangazwa leo.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger