MWANANCHI “Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa
linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM
iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jamaa aliyewahi kudaiwa kuwa karibu na mwigizaji Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema na mwenzake, Emmanuel Kagondela