Wednesday, 8 July 2015
STEVE NYERERE AAJIRI MLINZI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Msanii wa filamu Bongo, Steven Mengere, ‘Steve Nyerere’.
Chande Abdallah MAKUBWA HAYA! Msanii wa filamu Bongo ambaye ameingia kwenye listi ya waliotangaza nia kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kinondoni, Steven Mengere, ‘Steve Nyerere’ amedaiwa kuajiri mlinzi wake binafsi ili kujihami na maadui wake wa kisiasa.
Steve alinaswa na paparazi wetu akiwa analindwa na ‘bodigadi’ kila alipokuwa akienda ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Dar kulikokuwa na hafla ya uchangiaji waandishi wa habari, Media Car Wash na aliweka wazi kuwa hiyo yote imetokana na uamuzi wake wa kuingia kwenye siasa.
“Nimeambiwa na wazee kuwa nisiwe peke yangu, si unajua tumeingia upande wa siasa, ni mambo ya kiusalama zaidi ndiyo maana nimemwajiri huyu,” alisema Steve Nyerere baada ya kuulizwa kuhusu suala hilo.
Saudia Arabia yaishambulia Hospitali nchini Yemen
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia hopistali inayomilikiwa na
Ujerumani huko katika mkoa wa Hajjah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Kanali ya habari ya al Masirah imetangaza leo kuwa watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa kwenye shambulio hilo.
Tuesday, 7 July 2015
Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’
amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka
picha zenye mikao ya kihasara
Utafiti REDET: Edward Lowassa aling’ara
MBUNGE JOSHUA NASSARI AMEPATA AJALI BAADA YA HELIKOPTA ALIYOKUWA AKIITUMIA KUKUMBWA NA DHORUBA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa
taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mbunge Wa Arumeru
Mashariki ndugu Joshua Nasary amepata ajali leo jioni akiwa maeneo ya
Leguruki.
Bank embarks on promoting high yielding long-term saving options
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
In an effort to promote money saving culture among
Tanzanians, Exim Bank Tanzania is running a sensitisation campaign to
encourage its clients to open high return fixed deposit accounts.