INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar
Viongozi
mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye
Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim
Mbita...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (katikati) akizungumza jambo,
kulia ni Mratibu wa Tuzo za Muziki Tanzania kutoka BASATA, Kurwijira
Maregesi pamoja na Msimamizi wa Mahesabu na Utawala kutoka AUDITA...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa
watoto wa kike mia mbili na tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko
Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi
hiyo. Jeshi hilo limesema watoto hao waliokolewa si kati ya wale
waliotekwa mwaka mmoja uliopita...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Sadc Council of Ministers, which is part of the regional bloc’s
Extraordinary Summit of Heads of State and Government that started in
Harare on Saturday, is meeting today to receive...