Thursday, 10 July 2014
AOZA MGUU BAADA YA KUPATA AJALI-ANAOMBA MSAADA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
AMA kweli ng’ombe wa maskini hazai, kijana Peter Sitiwati (26), mkazi wa Sinza ya Kwaremmy jijini Dar amejikuta akikatisha ndoto za utafutaji maisha kufuatia kuoza mguu baada ya ajali mbaya ya gari.
Akizungumza na mwandishi wetu jijini Dar juzikati kwa sauti ya kukata tamaa, Peter alisema alipata ajali ya gari mwaka 2013 maeneo ya Sinza-Mori, Dar na kuumia vibaya mguu wa kulia.

kijana Peter Sitiwati akiwa na maumivu makali yaliyosababishwa na kuoza kwa mguu.
’’Baada ya kugongwa na gari niliangukia mtaroni nikachomwa na kijiti
kwenye mguu wa kulia. ROSE NDAUKA:ASEMA KUWA SASA NI KAZI TU,NI BAADA YA KUMALIZA BIFU NA JACK CHUZI
HIZI NDO SABABU ZA MUME KUMCHINJA MKEWE,KUBWA NI KUTOKANA NA "WIVU WA MAPENZI"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamsaka kwa udi na uvumba, muuza nyama jijini hapa, Lucas Lomayany Molel (37) mkazi wa Ilboru kwa madai ya kumuua mkewe wa ndoa, Agnes Lucas (24) kwa kumcharanga na sime kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutokana na wivu wa mapenzi.

KOMBE LA DUNIA:HATIMAE FAINALI NI GERMANY(TEAM MULLER) VS ARGENTINA(TEAM MESSI)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Argentina ilikuwa imetoka sare tasa baada ya muda wa kawaida na ule wa Ziada na hivyo kulazimu mechi hiyo kuamulia kwa mikwaju ya penalti.
Kipa wa Argentina Sergio Romero ndiye aliyekuwa nyota katika mechi hiyo baada ya kuokoa mikwaju miwili na kuipa Argentina Ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Uholanzi.
Kipa wa Argentina Sergio Romero alikuwa Nyota wa mechi hiyo
Argentina imejukatia tikiti ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka wa 1990 ambapo itachuana Ujerumani.Argentina ilikuwa imetoka sare tasa baada ya muda wa kawaida na ule wa Ziada na hivyo kulazimu mechi hiyo kuamulia kwa mikwaju ya penalti.
Kipa wa Argentina Sergio Romero ndiye aliyekuwa nyota katika mechi hiyo baada ya kuokoa mikwaju miwili na kuipa Argentina Ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Uholanzi.
BABA KANUMBA AMCHANA MKEWE,AMWAMBIA AACHE NJAA
40 YA MSANII TYSON MAMA AKE AUGUA GHAFLA,SOMA HAPA NINI KIMETOKEA
DIAMOND PLATNUM AMLIZA MAMA AKE MZAZI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Stori: Waandishi Wetu
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefanya tukio la kihistoria kiasi cha kumliza mama yake mzazi, Sanura Kassim ambaye alimwaga machozi kama mtoto mbele za watu.
Tukio la mama Diamond kumwaga machozi lilishuhudiwa na kamera za Amani, juzi Jumatatu, mishale ya saa mbili usiku nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es Salaam ambako kulikuwa na ‘bethidei’ ya mama huyo.

SEKREATIETI YA AJIRA:MATOKEO YA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 8 JULAI 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
katika OFISI ZA NATIONAL CONSTRUCTION COUNCIL (NCC)
NB: WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA MUDA NA SEHEMU ILIYOTAJWA KWA AJILI YA USAILI NA KUJA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES).
Na. EXAMINATION NUMBER SCORE REMARKS
1 PSRS RESE ASS NCC - 121 80 SELECTED
2 PSRS RESE ASS NCC - 118 73 SELECTED
3 PSRS RESE ASS NCC - 124 73 SELECTED
4 PSRS RESE ASS NCC - 128 66 SELECTED
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 8 JULAI 2014 |
EXAMINATION RESULTS FOR RESEARCH ASSISTANTNCC
Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 9/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. katika OFISI ZA NATIONAL CONSTRUCTION COUNCIL (NCC)
NB: WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA MUDA NA SEHEMU ILIYOTAJWA KWA AJILI YA USAILI NA KUJA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES).
Na. EXAMINATION NUMBER SCORE REMARKS
1 PSRS RESE ASS NCC - 121 80 SELECTED
2 PSRS RESE ASS NCC - 118 73 SELECTED
3 PSRS RESE ASS NCC - 124 73 SELECTED
4 PSRS RESE ASS NCC - 128 66 SELECTED
Wednesday, 9 July 2014
WANAFUNZI MKOANI MBEYA WAANDAMANA HADI KWA MKUU WA MKOA KWA KUKOSA NAFASI KIDATO CHA TANO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
WAHITIMU
39 wa kidato cha nne mwaka jana katika Shule ya Sekondari Karobe jijini
hapa wakiwa na wazazi wao, jana waliandamana hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa
ili kujua hatma yao baada Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
kushindwa kuwapangia nafasi za kujiunga kidato cha tano licha ya kufanya
vizuri katika mitihani yao.
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AFUNGUA BWENI LA WASICHANA-NAMTUMBO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kiongozi wa mbio za mwenge RACHEL KASSANDA
Kiongozi wa mbio za mwenge RACHEL KASSANDA, amefungua bweni la
wasichana la shule ya sekondari MSINDO na kuweka jiwe la Msingi katika
majengo ya vyumba vinne vya madarasa na Maabara moja katika shule ya
Sekondari RWINGA wilayani NAMTUMBO mkoani RUVUMA.
MASHABIKI WA BRAZIL WACHOMA BASI MOTO BAADA YA KIPIGO CHA 7-1
Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto.
WANAFUNZI WAFUNGWA JELA MIAKA 6 KWA MAUAJI YA MWALIMU WAO MKOANI SINGIDA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Vijana wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwalimu wao.

UJERUMANI YAWEKA HISTORIA:NI BAADA YA KUIFUNGA BRAZIL GOLI 7-1 NUSU FAINALI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
André Horst Schürrle (katikati) akifurahia na wachezaji wenzake wa Ujerumani baada ya kufunga bao la saba dhidi ya Brazil.