atimaye
picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es
Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo
mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa
vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400
...
WAKATI
vifo mfululizo vikitokea Mei mwaka huu miongoni mwa wasanii maarufu
nchini, nyota wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ameibuka na kusema endapo
ataaga dunia, hahitaji kufanyiwa mbwembwe wakati wa msiba na mazishi
yake kama wasanii wengine...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,
Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya
utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil Nyakunga
ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehal...
Wanaume hatimaye kutambua kwamba hawapo peke yao kitandani na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi! Kuchukua hii kutoka...
kawaida
wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika
ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali
inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo”
hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya...
MVUTANO mkubwa
umeibuka juu ya wapi azikwe marehemu Nasra Mvungi, mtoto aliyeishi
ndani ya boksi kwa miaka minne baada ya kufariki dunia hivi karibuni
katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mwili wa mtoto Nasra Mvungi ukishushwa kwenye gari ndani ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro...
Mazishi ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi tangu
akiwa na umri wa miezi tisa, yanatarajiwa kufanyika leo katika makaburi
ya Kola mkoani Morogoro...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef. Na EA.7/96/01/G/2302ndJune, 2014VACANCIES ANNOUNCEMENTOn behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) and Ministry of Lands,Housing and Human Settlement Development, Public Service Recruitment...
Wabunge
wanawake wenye muda mrefu bungeni pamoja na mke wa waziri mkuu, Mama
Tunu Pinda juzi walimuandalia sherehe ya kumfariji mbunge wa viti maalum
(CCM), Vicky Kamata baada ya harusi aliyotarajia kufunga wiki
iliyopita, kukwam...
Askari
wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es
Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu
ya usafirishaji...