
Siri ya CCM kung’ang’ania Serikali mbili kikatiba
Msimamo huo ni kinyume na mapendekezo
au matakwa ya wengi kama ilivyoainishwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba
iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Katika maisha ya kawaida, binadamu ana msimamo...