Sunday, 8 February 2026

🏨πŸ”₯ WANDAMAN HOTEL – HADHI MPYA SHINYANGA MJINI 🌟

...


Karibu WANDAMAN HOTEL – mfalme mpya wa huduma bora mjini Shinyanga.

Tupo Mwasele– Shinyanga Mjini, mkabala na Musoma Food, tukikuletea uzoefu wa kipekee wa mapumziko, mikutano na malazi ya hadhi ya juu katika mazingira tulivu, safi na ya kisasa.

Huduma Zetu Kuu:

πŸ›️ Vyumba vya kulala vya kisasa, safi na vyenye hadhi
🍽️ Huduma bora na ladha ya kipekee ya vyakula
🌳 Mandhari ya kuvutia, hewa safi na mazingira tulivu (tumezungukwa na miti)
🀝 Wahudumu wakarimu, waaminifu na wenye weledi wa hali ya juu
πŸ§‘‍πŸ’Ό Vyumba vya Executive kwa mikutano na vikao maalum
🏒 Kumbi za mikutano kwa semina, warsha na mikusanyiko mbalimbali

πŸ“ Mahali: Mwasele – Shinyanga Mjini
πŸ‘‰ Mkabala na Musoma Food

πŸ’Ό Iwe ni kwa mkutano wa kikazi, safari, mapumziko binafsi au kuwahudumia wageni wako muhimu,
WANDAMAN HOTEL NDIO CHAGUO SAHIHI!

πŸ“ž Mawasiliano Yetu:
πŸ“Œ Street: Mwasele
πŸ“Œ Block No. 533

☎️ Simu:
+255 770 601 666
0757 281 271
0672 166 342
0754 484 965

πŸ“§ E-mail: wandamanhoteltz@gmail.com
πŸ“Έ Instagram: wandamanhotel
πŸ“˜ Facebook: Wandaman Hotel

WANDAMAN HOTEL – Hadhi, Utulivu na Huduma Bora.






































Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger